Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,683
- 12,447
Wataalam,naomba msaada.
Memory card kwenye simu yangu haifungui picha wala video.
Kuna siku iliniletea ku encrypt sd card,nika kubali.Siku nyingine tena simu ili stuck nika restart.Ikanitaka ni decrypt nikakubali.
Baadaye nafungua gallary picha hazifunguki,hamisha sd card kwenye pc bado hazifunguki.
Naomba msaada wa kuifungua hii memory card.