Jinsi dani ya kurudisha vitu vilivyofutika kwenye sd card baada ya ku-format?

Bulichekah

Member
Jan 12, 2014
68
185
Ndugu wataalam, nawasalimia sana.

Nimeformat SD CARD Ya CAMERA ambayo ilikuwa na picha nyingi muhimu na ningependa nizirejeshe. Nimepambana na recovery softwares nyingi za mtandaoni lkn zote nimeona ni za kulipia. Tafadhali naombeni msaada wetu ili niweze kurejesha vilivyopotea ndani ya ile SD Card. Nimeformat takriban siku 7 zilizopita.

Asanteni sana kwa msaada wetu
 
Sizani kama kuna software inaweza kusaidia njia pekee ni kufanya backup uki format before backup ni ngumu nasina hakika kama inawezekana acha wengine wenye ujuzi zaidi waje
 
Ndugu wataalam, nawasalimia sana.

Nimeformat SD CARD Ya CAMERA ambayo ilikuwa na picha nyingi muhimu na ningependa nizirejeshe. Nimepambana na recovery softwares nyingi za mtandaoni lkn zote nimeona ni za kulipia. Tafadhali naombeni msaada wetu ili niweze kurejesha vilivyopotea ndani ya ile SD Card. Nimeformat takriban siku 7 zilizopita.

Asanteni sana kwa msaada wetu
tumia 7 data recovery ila uwe na pc ndio uweke hiyo..
 
Ninapenda kusikitika kwamba data iliyokuwepo kwenye kadi yako ya SD huenda ikawa imepotea kabisa baada ya kufanyiwa formatting. Hata hivyo, unaweza kujaribu kutumia programu ya bure ya kupona data ili kujaribu kupata tena data yako.

Hapa kuna programu chache ambazo unaweza kuzipakua na kujaribu kutumia ili kupata data yako ya kupotea kwenye kadi yako ya SD:

1. Recuva: Programu hii ni ya bure na ina uwezo wa kupona data kutoka kwenye kadi ya SD iliyopotea. Inasaidia aina mbalimbali za faili ikiwa ni pamoja na picha, video, na faili za sauti.

2. EaseUS Data Recovery Wizard Free: Hii ni programu nyingine ya bure ambayo inaweza kusaidia kupona data iliyopotea kwenye kadi yako ya SD. Inasaidia aina mbalimbali za faili na ina uwezo wa kupona faili hata baada ya formatting.

3. PhotoRec: Hii ni programu nyingine ya bure na ya wazi ambayo inasaidia kupona data kutoka kwenye kadi ya SD. Inasaidia aina mbalimbali za faili ikiwa ni pamoja na picha, video, na faili za sauti.

Ni vizuri kuzingatia kwamba kupona data iliyopotea kutoka kwenye kadi ya SD iliyofanyiwa formatting ni ngumu, na hakuna uhakika kwamba utaweza kupata data yako yote. Hivyo, ni muhimu kuhifadhi nakala za data yako muhimu kwenye nafasi nyingine ili kuepuka kupoteza data kama hii.
 
Safi sana, mie naitumia sana EaseUs lakini yangu ni pro version inakupa uwezo wa kurecover files zako ,hiyo ambayo ni free inakupa options ya kureview pekee bila ku recover.

Lakini pia vpi kuhusu device ambayo umekwisha overwrite tayari,huwa naona possibility ya kupata files zako zote ni almost below 90 percents.

Àsante
 
Back
Top Bottom