Sd bioline (vipimo vya kupima hiv )ni feki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sd bioline (vipimo vya kupima hiv )ni feki!

Discussion in 'JF Doctor' started by DAWA YA SIKIO, Jan 5, 2012.

 1. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wizara ya Afya kupitia waziri wake imetangaza kusitisha matumizi ya vipimo vya sd bioline ambavyo vimekuwa vikitumika kwa muda mrefu kupima Uwepo wa VVU mwilini. Sababu iliyotolewa ni kutokuwa na ubora.
  Nimesikia taarifa hii muda mfupi uliopita kupitia Taarifa ya habari ya Radio One... Kiukweli nimekuwa shocked ! Wangapi wamepimwa na vipimo hivyo leo,jana,juzi na lini sijui na wakapewa majibu yanayoitwa ya uhakika !... My God!
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mbona taarifa hizi hazijafika kwa waganga wakuu wa mikoa au wilaya?
   
 3. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  ... Mkuu ni taarifa ambayo imetangazwa jioni/ usiku huu. Na inasemekana kuna bonge la shehena huko wizarani. Mi mwenyewe hapa nina box kadhaa,na nimewapima kibao leo... Let us wait and see!
   
 4. y

  yeto Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  hii taarifa ipo siku nyingi rejea barua ya WHO 16 november 2011 Pia soma hii link ya wavuti website Kashifa Wizara ya Afya: Mganga Mkuu ashindwa kuagiza kuondolewa vipimo vibovu vya VVU nchini - nyumbani ya WHO LINK http://www.who.int/diagnostics_laboratory/procurement/111201_productalert_for_product0027_mx012.pdf20, AVENUE APPIA – CH-1211 GENEVA 27 – SWITZERLAND – TEL CENTRAL +41 22 791 2111 – FAX CENTRAL +41 22 791 3111 – WWW.WHO.INTDLT/FSN.001 16 November 2011Field Safety Notice No. 1Product: SD Bioline HIV-1/2 3.0Product code: 03FK10PQDx Number: PQDx 0027-012-00The WHO Prequalification of Diagnostics programme has undertaken the WHOprequalification assessment for the SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10)manufactured by Standard Diagnostics at 156-68, Hagal-dong, Giheung-ku, Yongin-si, Kyonggido446-930 Republic of Korea. The laboratory evaluation showed unacceptably high rate(approximately 50%) of invalid test devices on two separate lot numbers (023419 and 023418B)with expiry dates 30 August 2013 and 2 August 2013, respectively.The Partnership for Supply Chain Management (PSCM) has observed similar problemswith the SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK16) lot number 023424B with expiry date18 August 2013 and lot number 023425.SD Bioline HIV-1/2 3.0 will be de-listed from the WHO e-catalogue and will thereforenot be eligible for procurement by WHO and UN agencies, until further notice.WHO has provided Standard Diagnostics with an appropriate course of action to guidetheir investigation of the problem and the company is cooperating fully with this request.If you are experiencing similar problems, please complete the "User complaint form forreporting problems and/or adverse events related to diagnostic products" available on ourwebpages (WHO | Procurement of diagnostics) and submit it todiagnostics@who.int. If you have any questions, please do not hesitate to contact the WHOPrequalification of Diagnostics programme by email (diagnostics@who.int).
   
 5. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  mi sidhani kama kuna kipimo chochote cha ukimwi ambacho kipo sahihi,fuatisha link hii: The Great "HIV" Hoax
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35  DUUH ! Totally disappointed!!!
   
 7. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ahsante mkuu!
   
 8. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Duu...Mkuu hiyo kitu imeniacha hoi.
  Thanks!
   
 9. n

  ngwana ongwa doi Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alivyosema dawa ya sikio ni kweli na taarifa wengine tumeshapata official siyo tu za redioni.
   
 10. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  ndiyo hivyo mkuu, dunia hii ni msitu mnene, lakini utaanzia wapi mpaka watu wakuelewe? bali ukweli daima utadumu. lakini nani atalipa gharama za watu wote hawa wanaoteseka na kufa kwa sababu ya uroho wa fedha wa wenye viwanda vya madawa?. ipo siku nayo haipo mbali. www.maajabuyamaji2.artisteer.net
   
 11. B

  BLB JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  serikal chokambaya,
  kwahiyo 2tatumia kipimo gani.
  Au ELISA
   
 12. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Mkuu itafahamika tu. Ila kwa hili linchi linavyoenda sijui itakuwa lini.... VUTA PUMZI SHUSHA,
  GUNA,
  SIKITIKA,
  PIGA KELELE.
  ...Who cares!
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba nitonye kidogo'hivyo vipimo vinafanyaje kazi?na uliowapima aslimia kubwa ni + or - unaonaje mkuu'hii taarifa inakatisha tamaa sana
   
 14. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  SD BIOLINE FOR HIV 1/2,Ni kipimo cha kutambua uwepo wa antibodies (kinga) ya mwili dhidi ya HIV hivyo kuashiria maambukizi. Ni kipimo cha haraka na rahisi zaidi kukitumia cha HIV. Majibu ndani ya dakika 5 hadi 10.
  Kilipata umaarufu zaidi kipindi kile cha kampeni ya upimaji HIV kitaifa [?2008]. On my side nilikipenda sana.
  Disadvantage yake ni kuanza kutoa majibu sahihi wiki 6 au zaidi toka maambukizi. Reason behind ni kwamba zinadetect antibody na sio virus. Antibodies za HIV huanza kujitokeza kwa wingi kuanzia wiki ya sita toka maambukizi. Thats why watu hushauriwa kurudia kupima baada ya miezi 3 ya ngono salama,ili kama antibody hazikujitokeza 1st time zitokee ama zisitokee hivyo kuthibitisha hiv status ya client.
  ...MKUU NASHUKURU KWA HUKU KWETU BADO HATUJAJICHAFUA SANA NA HAWA WADUDU.INGAWA MMOJAMMOJA SI HABA
  [ratio 1: 200].
   
 15. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  www.maajabuyamaji2.artisteer.net[/QUOTE]

  ahaha...kwenye maajabu ya maji na sasa nako tunarudishana kulekule maana ukisoma hiyo na ukaingia kichwakichwa, lazima uibukie kwenye maajabu ya chumvi na mwishowe vitunguu swaumu. Mwisho wa siku utajikuta kwenye uwakala wa alovela......hii dunia bwana kila kitu ni biashara tu, bora nirudi kijijini maana hata hapa kwetu kigamboni tushaambiwa tupige mbizi kwenda mjini..hahaaha......
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapa duniani kila mtu anataka kuwa juu ya mwenzaka inamaana hayo mavipimo hao iso tbs na tfda walikuwa hawajayastukia muda wote hapi pale walipotoswa mshiko ndio wakasema ni fake..
  Mi mtu bwana bora atanusuru tu na haya mambo..
   
 17. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  teh teh teh ukipigapiga mizinga deile unaboa.
   
 18. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
 19. Sukari Yenu

  Sukari Yenu JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2015
  Joined: Dec 8, 2014
  Messages: 1,309
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Sasa mkuu Paulo, kwanini mtu ambaye ni HIV+ akingonoka unsafely naye hupata HIV? Ni nini husababisha hali hii
   
 20. CCA

  CCA JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2015
  Joined: Apr 25, 2015
  Messages: 390
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Jamani mbona vilishapigwa marufuku na MOH
   
Loading...