SCRIPTED: Je, mpira wa Kombe la Dunia una sumaku (magnet) ndani?

SCRIPTED: Je, mpira wa Kombe la Dunia una sumaku (magnet) ndani?

mpira wa Trionda una sensor ya kisasa ya 500Hz iliyojengwa ndani yake. Sensor hii inafuatilia mwendo wa mpira, kasi ya mashuti, mzunguko (spin), na mguso wa wachezaji kwa usahihi mkubwa, na data hutumika kusaidia VAR na mfumo wa AI kufanya maamuzi ya haraka na sahihi katika mechi za Kombe la Dunia 2026.
Kwa kifupi, mpira wa Trionda si mpira wa kawaida bali ni kifaa cha kiteknolojia kilichoundwa kuongeza usahihi, uwazi na msisimko katika mashindano ya FIFA World Cup 2026.
Upo sahihi mkuu unadhani hawawezi kumisuse hiyo tech. Iliyopachikwa kwenye mpira huo wa Trionda!?
 
Kwakifupi unaleta story za kufikirika.

Nyie ndio wale mnaoamini Kolo Muani alipiga shuti ila mpira ukamfata Emi Martinez kwa maelekezo
Kwanza kabla ya kuanza kubishana na wewe unafaham tech. iliyopachikwa kwenye mpira huo!?

Unadhani hawana uwezo wa kumisuse kwa manufaa yao binafsi!?
 
Yaani adidas kampuni ya kijeruman watengeneze mpira ambao utawagomea wajerumani wenyewe kwenye mashindano?
Kiongozi!
Adidas ni business company sio shirikisho la mpira la Ujerumani
 
Lile lilikuwa scripted hadi Zlatan aliwahi kusema ilishaandikwa kuwa Messi na Argentina ndio wanaotakiwa kuwa mabingwa
Messi huyo ni Agenda ya FIFA ya muda mrefu.
Fanya research kidogo ya maisha ya Messi tangu akiwa mdogo, na kwanini maisha yake hayazungumziwi sana kama ya Ronaldo kwenye media licha ya ukubwa wake katika soka!?
 
Messi huyo ni Agenda ya FIFA ya muda mrefu.
Fanya research kidogo ya maisha ya Messi tangu akiwa mdogo, na kwanini maisha yake hayazungumziwi sana kama ya Ronaldo kwenye media licha ya ukubwa wake katika soka!?
Hapana Messi anazungumziwa sana tena kwa promo kubwa ila jamii imeamua kufuata ukweli.

Ronaldo anapendwa kwasababu ni icon ya mpira lakini anagusa aspect kadhaa kwenye jamii, influence yake unaweza kuiona kwenye hustling za maisha, uchumi, akili nk.
 
Waafrika wametolewa kwa sababu ya kukosa umakini dakika za mwisho. Hakuna mpira wenye sumaku
 
haingii akilini, magnetic field patterns zlivyo na mpira muda wote uko kwny mwendo unacontrol vp na external sensor ztakazo kuwa znadaka elcmagwaves ztakuwaje. mmh.
 
Kwahiyo mtu akisema sumaku unadhani ni zile sumaku za kuvutia vyuma ulizotumia utotoni!?
Wapi nimedhani ni zile sumaku za kuvutia vyumba ulizotumia utotoni?
 
Back
Top Bottom