SCRIPTED: Je, mpira wa Kombe la Dunia una sumaku (magnet) ndani?

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,847
Reaction score
4,506
Baadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa (scripted) kwa namna fulani.

Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.

Licha ya ukubwa na hadhi ya Kombe la Dunia, baadhi ya watu wanaamini kuwa huenda tunakuwa tunatazama mchezo unaodhibitiwa, kana kwamba ni "video game".
1000460279.jpg

View: https://www.instagram.com/reel/Das3ZIIAffz/?igsh=bno0OGd3MDhpczFl
 
Baadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa (scripted) kwa namna fulani.

Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.

Licha ya ukubwa na hadhi ya Kombe la Dunia, baadhi ya watu wanaamini kuwa huenda tunakuwa tunatazama mchezo unaodhibitiwa, kana kwamba ni "video game".
Mpira umefungwa microchip
 
Mkinywa visungura na kuvuta mchanganyiko wa bhangi na tumbaku ndo mnakuja kuanzisha nyuzi za kipumbavu kama hizi. Hayo mmesimuliana kijiweni unakuja anzisha uzi ukiona umeandika jambo la maana. Tafuta kitu cha kufanya.
 
Mkinyqa visungura na kuvuta mchanganyiko wa bhangi na tumbaku ndo mnakuja kuanzisha uzi za kipumbavu kama hizi. Hayo mmesimuliana kijiweni
Changamsha ubongo mkuu.

Acha kuishi kwenye box.
 
Back
Top Bottom