achana na conspiracy theories zisizo na msaada kwenye maisha yako au hata ya ndugu zako. njoo na mikakati ya kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na supply ya maji ya uhakika kwa mwaka mzima.Kivip mkuu kwamba haiwezekani!?
achana na conspiracy theories zisizo na msaada kwenye maisha yako au hata ya ndugu zako. njoo na mikakati ya kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na supply ya maji ya uhakika kwa mwaka mzima.Kivip mkuu kwamba haiwezekani!?
Kama ni hivyo mbona ni rahisi kupanga matokeo?
Hizo petty issues fanya wewe.achana na conspiracy theories zisizo na msaada kwenye maisha yako au hata ya ndugu zako. njoo na mikakati ya kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na supply ya maji ya uhakika kwa mwaka mzima.
Wanacheza mpira kama wanafunza miguuniKivip!?
Pole sana mkuuTimu za Afrika zimekuwa bure kabisa kwenye haya mashindano. Kwa hali hii hata king'amuzi silipii tena kuangalia huu upuuzi. Hiyo hela bora nikanywee pombe.
Duh!Wanacheza mpira kama wanafunza miguuni
Hakuna kitu kama hicho...
sema hutaki kushughulika na vitu vyenye tija ila unapenda kujikita na mambo ya kijinga.Hizo petty issues fanya wewe.
Kwa hiyo kuna mtu amekaa pembeni anauchezesha mpira atakavyo! Akitaka timu fulani ishinde inashinda tu kwa nguvu za sumaku?
Hizo video ziko wapi kwa sasa Mkuu?Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.
Umeona goli la Harry Kane la pili ? Ile Kasi ya mpira sio ya kawaida kabisaBaadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa (scripted) kwa namna fulani.
Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.
Licha ya ukubwa na hadhi ya Kombe la Dunia, baadhi ya watu wanaamini kuwa huenda tunakuwa tunatazama mchezo unaodhibitiwa, kana kwamba ni "video game".
View attachment 3620372