MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,155
- 12,712
Labda kama utazungumzia tukio kama hiliView attachment 3620382
Labda kama utazungumzia tukio kama hiliView attachment 3620382
Ugali siyo chakula kwakweli basi tu tunakula maana tumekuwa kwenye mazingira hayo 🤣Yote haya labda kutokana na chakula chetu pendwa cha ugali!! 😂
Nguvu za uvutano wa sumaku 🤣Kwa hiyo kuna mtu amekaa pembeni anauchezesha mpira atakavyo! Akitaka timu fulani ishinde inashinda tu kwa nguvu za sumaku?
🤣Yaani adidas kampuni ya kijeruman watengeneze mpira ambao utawagomea wajerumani wenyewe kwenye mashindano?
Na vipi yanga anapofungwa au Simba kufungwa Huwa mpira unaongozwa na jamaa fulani mwenye sumaku au 🤣Na ndiyo maana Betting companies zinapiga hela ya kutosha
Mkuu punguza hasira.Kwa iyo sumaku inapeleka mpira kwa wazungu tu?,kwamba iyo sumaku inafanya wachezaji wa afrika weusi walewe sifa wakipata goli mbili bila adi dk85?, kwamba mashindano yale ni video game kwaiyo ata mayele nae anachezeshwa kwa kubojezwa pads?,kwamba wachezaji wote sio halisi? (WAAFRIKA WEUSI SISI BADO MANYANI KWA MAWAZO YA MTOA MADA)
Conspiracy theories sio za Afrika tu mbona ni issue za Dunian nzima.Africa bana watu wanafanya investment kwenye Sports nyie mnawaza ushirikina na Conspiracy theories
Wewe mwenye akili fanya hayo ya msingi.sema hutaki kushughulika na vitu vyenye tija ila unapenda kujikita na mambo ya kijinga.
Naona mataahira wapo wengi humu.Kweli kaka mwafrica akipiga shuti lina paa juu mzungu akipiga lina lenga goli.
Alisikika kijana mmoja akiwa na master sport mdomoni
Wewe Chizi kuwaza out of the box ndo ulinyimwa!?Yaani hawa madogo akili hawana kabisa
Sahihi!Kitu kikishakua na teknorojia ndani yake kinaweza kua Controliwa
Mazungu ni mashenzi sana yakiamua jambo
Zimefutwa!Hizo video ziko wapi kwa sasa Mkuu?
Kabisa!Umeona goli la Harry Kane la pili ? Ile Kasi ya mpira sio ya kawaida kabisa
Hii ni kwa timu zote sio Africa tu. Inategemeana na dhumuni la scripter!Waafrika sisi ni wabovu tusitafute excuse
Unaleta mambo ya NBC PL duniani sio?Baadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa (scripted) kwa namna fulani.
Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.
Licha ya ukubwa na hadhi ya Kombe la Dunia, baadhi ya watu wanaamini kuwa huenda tunakuwa tunatazama mchezo unaodhibitiwa, kana kwamba ni "video game".
View attachment 3620372
Mkuu, hii kitu ina ukweli asilimia kadhaa.Umeandika uchuro mtupu