Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,288
Nafahamu kuwa nje specific Hollywood wanakuwa wanatumia programmes maalum za kuandika scripts za movie au Tv shows programmes zenyewe ni kama Final Draft au Celtx ambazo zinauzwa unakuta.
Sasa nataka kujua Tz creators wanatumiaga nini maana zile mostly zimekuwa zimesetiwa English hata zile location kuonyesha kama scene location.
Itabidi useme kama ni EXT yaan exterior (kwamba tukio liko eneo la nje) au INT yaan interior (kwamba scene inafanyika mandhari ya ndani) una insert automatic sasa hapa Tz tuko na system gan nataka kujua zaidi kwa wataalamu wa hizi mambo.
Natanguliza shukrani