Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
Jamaaa nduki dadekCheki huyu jamaa alivykamatwa...
View attachment 3419272
View attachment 3419282
Cheki jamaa alipokamatwa πππ
View attachment 3419293
Jamaa alipotea hatujui alipotelea wapi...π€£π
π€π€Sitaki kuskia mambo ya screenshot wala kutunza risiti, kuna siku dada moja aliweka picha yake selfikani mi nikaichukua nikacrop nikaiacha huko gallery.... Nlidakwa ikabidi nidanganye maana manzi anajua simu yangu hua haina picha wala nyimbo
Thanks for Appreciation Pal.View attachment 3419340
Hii ni muhimu wakuu kutoka kwa Ryan Holiday
Nimekua nikifatilia sana haya maneno yako mkuu hakuna bahati bila maandalizi
Nipo Tanzania kaka. It was nice to share a little experience ya part ile.View attachment 3419258
Daaah huu uzi nilisoma aiseee nzuri sana
Mhandisi Mzalendo upo wapi kwa sasa mkuu
Daaah hatareee sna mkuu vipi una mpango wa kurudi tena kuleNipo Tanzania kaka. It was nice to share a little experience ya part ile.
Yes kaka. Mambo yakikaa sawa naenda kuzisaka.Daaah hatareee sna mkuu vipi una mpango wa kurudi tena kule
Fanya tushtuane mkuu...Yes kaka. Mambo yakikaa sawa naenda kuzisaka.