SCREENSHOT MBALI MBALI KUTOKA JF

SCREENSHOT MBALI MBALI KUTOKA JF

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
27,402
Reaction score
54,846
Huwa nawekaga kumbu kumbu kama kitu kikiwa kimenichekesha au kinamaana fulani kwangu....

Zitabaki kumbu kumbu humu ndani mana naona kabisa simu inaanza kujaa mapicha
Screenshot_2025-07-26-00-25-30-155_com.miui.gallery.jpg
 
Sitaki kuskia mambo ya screenshot wala kutunza risiti, kuna siku dada moja aliweka picha yake selfikani mi nikaichukua nikacrop nikaiacha huko gallery.... Nlidakwa ikabidi nidanganye maana manzi anajua simu yangu hua haina picha wala nyimbo
 
Sabufa nina screenshot yako ujue...
Ngoja niitafute ahahah
 
Back
Top Bottom