Bwasheemweusi
Member
- May 6, 2017
- 39
- 17
Habari watu wa mtandaoni kuna hii copmuter fujitsu lifebook t730 tablet screen yake imepasuka nahitaji kuibadilisha so natafuta nyingine mpya ya kubadilishia sijajua ntapata wapi maan akama hii brand sio comon sana hapa bongo
picha yake hii hapa ya pc
picha yake hii hapa ya pc