Mkuu ni wadada tu wanakosea?
CC: Lady doctor
mhhhhhh Mwanyasi unajua kama Lady doctor ndo mama nkwe wako eeeeehMkuu ni wadada tu wanakosea?
CC: Lady doctor
Hizi touch screen zinavyosumbua watu mdada kanunua cmu mpya Screen touch
Mdada: Bebi mambwo? Jamaa: Poa nambie Mdada: Vipw umelalwa? Jamaa: Unasemaje? Mdada: Nauliza umelwala? Jamaa: Mhhhh! Cjalala baby hata ucngz cna
Mdada: Mim menyew cjalwala ---- mijitu inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa
Jamaa! Nin?
Mdada: kuna kelwele hapa nje ya numba yetu usingizwi hakuna kabiswa
Jamaa: hahahaa pole baby
Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sasa?
Jamaa: Jaribu kuandika vizuri hunny
Mdada: Hehehwehwe, cunajua cmu mupya alafu sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na nyingine. Pwelo bebwi wangu
Jamaa: Hahahaa haya dia
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Humo kwenye red ni maneno ya mwanaume?Soma vizuri mkuu, Lugaya twaifa hiwoo
In this world nothing is certain than Tax and Death.
mhhhhhh Mwanyasi unajua kama Lady doctor ndo mama nkwe wako eeeeeh
Mkuu ni wadada tu wanakosea?
CC: Lady doctor