screen touch ya tablet yangu isn't working

screen touch ya tablet yangu isn't working

Princessone

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
99
Reaction score
87
habari wadauz screen touch ya tablet yangu imegoma kufanya kazi kabisa, naomba kwa yeyote aliyewahi kupata problem hii anisaidie alitatua aje.
aina ya tablet ni twinmos.
Natanguliza shukrani.
 
Twinmos yipi..? Twinmos tab -t7283G??? ama ?
Imegoma ghafla au baada ya wewe kufanya kitu?
 
sory siko nayo karibu nichek hizo namba...ila nilitumia for like 3 weeks ikaanza kustack then ndo ikagoma kabisa
 
Back
Top Bottom