dah, maswali mengine mkuu uwe unafikiria kidogo kabla ya kuuliza..sasa touch screen imegoma...huelezi imeanzaje, labda umeangusha, imetumbukia kwenye maji, uliiminya, imeanza tu yenyewe ghafla, au nini kimetokea ili watu wajue wanakudaidiaje maana msaada atakaopewa mtu aliyeangusha simu si sawa na msaada wa mtu aliyetumbukiza kwenye maji simu..be specific!! sema simu yangu ilikuwa hivi then baada ya kutokea hiki limetokea tatizo hili...unaeza kuta simu ime stack tu na uki restart inakubali?? toa maelezo zaidi usaidiwe vizuri..