Screen size za simu

Mm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Uwe unafuta bloatware zote, na kila kitu usichotumia. Pia uwe na tapia ya kuclean trash na kuclear memory kila siku
Hakikisha ukienda kulala usiku simu ina trash only 0 MB
Mimi naclear trash na memory kila siku Ila natumia Xiaomi sio Infinix.
Lakini trash zipo karibu kwenye simu zote za Android so unapaswa kufuta mara kwa mara
 
Hizo simu ulizotaja,compact ni asus na iphones tu.
Simu kioo inch 6 unaitaje compact?
 
Samsung iphone wote wana simu ndogo, s23 ni simu ndogo, iphone za kawaida ama mini ni simu, sema tu Kwa Samsung ama Iphone definition ya simu ndogo kwao features pia ni kidogo, ukilinganisha s23 na s23 ultra kuna utofauti mkubwa same kwa iphone 14 na 14 pro max.

Kampuni ambazo kwa sasa zinatengeneza simu nzuri ndogo ni Sony na Asus.

Zenfone 8 na zenfone 9 zote ni simu kali kwenye umbo dogo, same kwa Xperia V series.
 
Hizo simu ulizotaja,compact ni asus na iphones tu.
Simu kioo inch 6 unaitaje compact?
Dunia nzima inajua hizo simu ni compact
Haiwekani tusiziite compact eti kisa standards zako zinaonesha kuwa hizo simu sio compact
 
Simu ikiwa na display ya nchi 6 mwisho angalau 6.4 kwa sisi wanaume inatufaa mradi display iwe imejaa..
Maana licha ya kuishika vizur mkononi pia hata ukiiweka mfukoni bado haiharibu muonekano wa suruali au pensi
Ila siku kubwa zinawafaa wakina dada maana wataweka kwenye pochi zao

Hao iphone na samsung inabid waliangalie hili.. specifications ziwe sawa bila kuangalia size ya simu sisi wateja ndio tutachagua
 
Hiyo inatokana na mabadiliko ya technology. Apps zinakuwa na vitu vingi of which inahitaji Display ya size kubwa kuweza kuvionyesha vyote.

Nadhani wewe umefocus katika size ya simu wao wamefocus katika functionality.

Ukitaka uelewe kwann then nenda kwnye user experience platforms utasikia wanaelezea utofauti wa matumizi wa screen ndogo na kubwa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa simu nyingi za android kuna feature ya one handed mode ambayo hata kama screen yako kubwa unaitumia hii na kuifanya screen kuwa ndogo ndani ya screen yako kubwa
Pamoja na kuweka iyo feature bado simu haiwi portable kwenye kutumia.
Japo mm ni mrefu nina mkono mkubwa. Kioo cha inch 6 kamili naona ndio kizuri zaidi
 
Upi muonekano mzuri wa ki gentlemen?
 

Attachments

  • images (12).jpeg
    21.5 KB · Views: 17
  • images (13).jpeg
    39.9 KB · Views: 16
Napenda screen pana
 
Mkuu unataka smart phones ziwe na umbo dogo kama vi swaswadu
raha ya smart phone iwe na display kubwa
 
Hakuna screen size ya simu kwa ajili ya wanaume wala wanawake
Simu kubwa ni kwa ajili ya watu wanaopenda simu kubwa, na simu ndogo ni kwa ajili ya wanaopenda simu ndogo, simple like that haihitaji complication
Mimi napenda kuangalia movies kwenye simu naanzaje kupenda simu ndogo


Usihusishe gender kwenye hili suala
 
Au kuna ile feature ya kujirestart automatic kila ifikapo 2:00AM inasaidia simu kuwa na utendaji wa kazi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…