Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 65
- 66
Pia hata Google keyboard unaweza kuiweka katika one handed mode bila kuaffect screen yote na hii inakuwa useful kama unataka kutype kwa mkono mmojaKwa simu nyingi za android kuna feature ya one handed mode ambayo hata kama screen yako kubwa unaitumia hii na kuifanya screen kuwa ndogo ndani ya screen yako kubwa
Itakubidi utumie Brand kama sony experia wana compact phones,google pixels matoleo ya 3,3a.SCREEN SIZE
Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa
utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa anapotumia.
Naona sasa simu zinaanza kuwa na ukubwa wa inch 7' dah!.
Simu nayotumia saivi ina ukubwa wa inch 6.4' naona jau kwny utumiaji sasa iyo inch 7 itakuwaje.
Ndugu yangu tuambie wewe unatumia simu yenye ukubwa wa kioo inch ngap na je unaifurahia?
View attachment 2636651
HapanaItakubidi utumie Brand kama sony experia wana compact phones,google pixels matoleo ya 3,3a.
Hao ndio waliobaki na simu zenye vioo vidogo tu!
5.5 ya zamani ni kama 6.6 ya sasa inakuwa fupi kidogo ila nene zaidi mfano hii Galaxy note 5 ya 2015 yenye 5.5 na s23+ yenye 6.6Nakumbuka 2017 mara ya kwanza nimenunua simu yenye display ya 5.5 inch nilikua naiona kubwa sana lakini sasa nina 6.67 naiona ya kawaida
🍎12 pro maxNapenda simu yenye screen kubwa ila iwe pana...hizi ndefu nyembamba ni ujinga!
Ebu naombeni simu zenye screen pana,nabadilisha simu mwezi ujao!
Ipi hiyoMm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Asanteee12 pro max
Ili simu iwe na display pana inabidi aspect ratio iwe 16:9 kwa simu za maana ya mwisho ilikua ni Xz2 premium toka 2018.Napenda simu yenye screen kubwa ila iwe pana...hizi ndefu nyembamba ni ujinga!
Ebu naombeni simu zenye screen pana,nabadilisha simu mwezi ujao!