Screen shot tecno m3

Screen shot tecno m3

Zinatakiwa zipotee unapoandika ile reli ya mwisho. Kwenye screen inayokuja ndio unaenda Phone Information

haikubali hii kitu.... lakini pia kwenye settings ipo nimeweka huku WCDMA ONLY.
 
hizo zote zinazokataa hata mimi kuna watu niliwajaribishia kuingiza hizo code, ilikuwepo tecno m3 na tecno p5 ziligoma ukiingiza kabla hujamaliza inajifuta nikaja nikachukua nyingine tena za aina hiyo hiyo zikakubali ndo nikajijibu kuwa kumbe kuna clone ya tecno
 
Clone ya tecno tena? basi tecno imekubalika sana mpaka wameamua kutoa clone
 
imekubali, lakini kwa tecno m5 pia kuna njia nyingine mbadala ya kulifanya hilo jambo bila ussd, unafanya hivi
setting>more> mobile networks>network mode> then choose ur network operator, eg voda, tigo, or airtel> WCDMA only

Mkuu hiz tecno zipo za majina tofaut m3,l5,m3,m5,phantom etc,hiz tofaut zake ni nin na ip iliyo bora na garama nafuu.na vp ukilinganisha na nokia lumia (nataka nihamie kwenye lumia au tecno)ila nina wasiwas na lumia kwa hiyo window phone 8 na mambo yao ya kuapdate yanaweza nigalimu,naomba ushauri wakuu!
 
utofauti wa hizo tecno upo katika ukubwa wa screen(display), processor, camera na RAM. katika kundi ulilolitaja, tecno M5 na Phantom ndio nzuri zaidi na zinaelekeana karibia kila kitu kasoro processor, ukubwa wa display na bei
 
Kumbe tecno wako vizuri.? Naombeni bei ya M5 nikadake chap!
 
utofauti wa hizo tecno upo katika ukubwa wa screen(display), processor, camera na RAM. katika kundi ulilolitaja, tecno M5 na Phantom ndio nzuri zaidi na zinaelekeana karibia kila kitu kasoro processor, ukubwa wa display na bei

Vp ukilinganisha na lumia kama nilivyouliza hapo juu?
 
*#*#4636#*#* does magic.....full WCDMA
naomba kuelekezwa hii kitu natumia tecno M5 hizo namba unaziandika wapi? maana kwangu nikiz USSD inaniletea information mbalimbali za simu

kaka ockavian naomba msaada wako nimejaribu kwa cm yangu techno p3 menu imekuja nikaweka CDMA baada ya mda network imekata kurudi tena nakuta baada CDMA niliyoweka ipo UNKNOWN kila mbinu nimejaribu kuitoa bila mafanikio sina network kutwa nzima ya Leo naomba msaada
 
Fuata maelekezo yangu kwa picha utafanikiwa
#Wabo
 
Attachments

  • 1398657612668.jpg
    1398657612668.jpg
    61 KB · Views: 120
  • 1398657634825.jpg
    1398657634825.jpg
    27.6 KB · Views: 107
  • 1398657674623.jpg
    1398657674623.jpg
    21.9 KB · Views: 108
  • 1398657705528.jpg
    1398657705528.jpg
    24.6 KB · Views: 102
  • 1398657739328.jpg
    1398657739328.jpg
    13.7 KB · Views: 98
  • 1398657764875.jpg
    1398657764875.jpg
    22.9 KB · Views: 109
Natumia M3 pia, hiyo network type inapatikana hata remote areas kwenye edge pekee au ni mijini tu wadau?
 
kaka ockavian naomba msaada wako nimejaribu kwa cm yangu techno p3 menu imekuja nikaweka CDMA baada ya mda network imekata kurudi tena nakuta baada CDMA niliyoweka ipo UNKNOWN kila mbinu nimejaribu kuitoa bila mafanikio sina network kutwa nzima ya Leo naomba msaada

ifanyie factory setting, lakini toa memory card yako kwanza ili usipoteze data zako ulizotunza kwenye SD card

fuata maelekezo yafuatayo
1.

2.

3.

embu jaribu hiyo nadhani setting zitarudi normal
 
Attachments

  • 1398690086856.jpg
    1398690086856.jpg
    29.9 KB · Views: 75
  • 1398690119897.jpg
    1398690119897.jpg
    39.6 KB · Views: 68
  • 1398690152459.jpg
    1398690152459.jpg
    37.6 KB · Views: 75
ifanyie factory setting, lakini toa memory card yako kwanza ili usipoteze data zako ulizotunza kwenye SD card

fuata maelekezo yafuatayo
1.

2.

3.

embu jaribu hiyo nadhani setting zitarudi normal

nimefanya hivyo mkuu bt no changes, card slot 1, haifanyi kazi bt slot 2 inafanya kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom