Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,063
- 3,629
Ni namna gani naweza fanya hiyo kitu wakuu,?
nimejalibu kubonyeza hizo button ila,wap
kwa tecno android, screen shot unabonyeza button ya power then haraka haraka unabonyeza Vol- .
kumbuka unatakiwa kubonyeza haraka haraka , yaani tofauiwe ni kama 1/8 sec baada ya kubonyeza power button ndio unafuata Vol-
na weeewe ni mdau wa tecno mkuu? kama ndio naomba nikuulize baadhi ya mambo?
mi nna M3 ni mashine aisee ka ukiijua hii simu kwa undani ka Mimi no mwendo wa WCDMA only
kwa tecno android, screen shot unabonyeza button ya power then haraka haraka unabonyeza Vol- .
kumbuka unatakiwa kubonyeza haraka haraka , yaani tofauiwe ni kama 1/8 sec baada ya kubonyeza power button ndio unafuata Vol-
*#*#4636#*#* does magic.....full WCDMA
Ni namna gani naweza fanya hiyo kitu wakuu,?
Binyeza power na vol- kwa pamoja vyote ita fanya hiyo kazi unayo taka
mkuu hii kitu tayari... nauliza hiyo manyotanyota na reli na manamba ya WCDMA ndio nini kabla sijajaribu?
Hiyo inakusaidia kupata Internet connection ya wcdma ambayo inakuwa na speed nzuri zaidi,so hiyo no commanding code to wcdma.
kwa mtandao wowote mkuu?
Yani kama unajua zile network speeds na latency, EDGE, WCDMA, UMTS, HSDPA, 3G n.k. Sasa hapo yenye highest speed ni WCDMA au HSDPA na ndio maana utakua umenotice kua mtandao kwenye status bar ukiwa H ndio speed inakua fastest, na ikiwa E (EDGE) slowest. Sasa ukipiga *#*#4636#*#* ni testing menu inakuja, select phone information, shuka chini mpaka preferrered network type na uchague WCDMA only. Kwa kufanya hivyo, regardless ya mtandao unaotumia simu yaki itahakikisha kua muda wote iko connected to high speed WCDMA network. Ile E pale juu hutaiona tena.
hapa nimeelewa sasa zaidi..... ngoja nifanye hivi mkuu..... R.I.P EDGE..... WELCOME H+ ALWAYS