Screen capture ya windows 8 pro

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
3,748
2,000
Kuuliza sio ujinga jamani ila hii mambo imenitoa kijasho! mwanzon nilikuwa natumia windows 7 na niliweza ku-capture screen yangu simply kwa kubofya Ctrl+PrntScr lakini hii shortcut kwenye wondows 8 pro imenishinda!

msaada wandugu!!! :Help:
 

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,893
1,500
mbona kwangu ina work hio ctrr + prt scrn ila baadhi ya pc kama yang unatumia fn + prt scrn ... but haiwork kwenye start page na pc ikiwa locked tofaut na kwenye win xp n 7
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,302
2,000
Jaribu Fn + Print Screen au Windows Key + print screen. Kisha cheki folder ya pictures, kama kuna folder ya screenshot ndani yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom