Hivyo natakiwa kuwa na CCcam ambayo inaonyesha SS3, ni ipi na naipataje please?
Nenda Xcam setup>>>>>Sharing
Hapo utakuta protocol imewekwa NewCamd/Mgcamd wewe badili weka CCcam
CCcam ni server/emulator inayotumika ku share smart card na hii ndo technolojia rahisi na reliable ambayo hapa Tanzania tukikipata kichwa cha kuweza kuitengeneza basi tutaondokana na utumwa wa mchina mfano dhairi ni Wanaija na wakenya ambao wao wana historia ya kutengeneza server zao na hivi juzi wanaija wameuza tv1 CCcam kwa wachina
CCcam kama server mmiliki(server admin) uongeze username na password katika configuration zake kama F line na kisha umtumia mteja C line
mfano wa Cline huu hapa chini
C: tv1.dydns.us 1000 user1 pswd
Hivo katika Qsat yako ukishaenda Xcam>>>>>Sharing utajaza
Server adress:tv1.dydns.us
Port:1000
Usr:user1
Password
😛swd
Kisha utabofya kifungo cha Blue(Reconnect)
Na hapo kama C line ulotumiwa ni ya ukweli basi utaona status inaandika "connected" na mara moja utaanza kuona picha
Pia umeuliza utaipata wapi?
Hapa itategemea unataka inayofungua channel gani kuna satellite zile za kimataifa CCcam zake unaweza kuzipata mtandaona mfano Google "grandCCcam" au "MonsterCCcam" au "WorldCCcam" kama package walizo nazo umezipenda basi utanunua...
Lakini kwa hapa Tanzania mm ni wakala wa baadhi ya CCcam pay servers hivo unaweza angalia Footer yangu au signature yangu au basi tembelea profile yangu
http://62.4.13.14/
Hapo utakuta utaratibu wa kupata CCcam na mawasiliano yangu
Nakutakia Siku njema