• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Scott Adkins vs Michael Jay white

Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,054
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,054 2,000
Duuuu! Safi sana. Mimi namkubali sana scott adkins. anapiga ngumi kama sio kwenye video vile, nahisi hata ukikutana nae anapiga vilevile. Huyu mwingine maudhui ya muvi zake huwa nzuri, lakini kupigana kwake ni kiuongo uongo hadi raha ya muvi inapotea. Angalia mfano hii aliyotoa hivi karibuni (inaitwa SWAT UNDER SIEGE). Jamaa kafeli kabisa kwenye art ya kupigana.
Scott bwana yuko gado. Angalia muvi zake kama vile undisputed, close range na Ninja (shadow of tear). namkubali.
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
7,631
Points
2,000
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
7,631 2,000
Scott Adkins yupo vizuri sana kuliko Jay White ktk kuigiza iwe mapigo. Hatujui ktk uhalisia lakini hata ktk kuigiza Jay White anajulikana kama anaigiza, jamaa ni very immature ktk uigizaji. Namkubali Scott ni kama wakongwe akina Damme, Winsley Snipes, Billy Blanks, Michael Dudicoff, Jet Li, Bruce, Jet Li, Jack Chan, Don Yen, Bolo Young, na wengineo waigizaji wazuri hadi unadhania ni kweli. Jay White ni poor actor. Angalia akina Vann Diesel wako vizuri sana wanajua kuigiza. Yaani Ice Cube anajua kuigiza uhalisia kuliko Jay White. Jay ni kama Dolph poor actors although they know martial arts!!
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
3,054
Points
2,000
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
3,054 2,000
Yuri Boyka..!
Weka mbali na watoto..!
 
mike2k

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
585
Points
1,000
mike2k

mike2k

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
585 1,000
Udisputed 2 walikutana kwenye pambano nani alishinda?
Acheni michael jay white kumcompare
 
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2016
Messages
6,394
Points
2,000
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2016
6,394 2,000
Imetokea kuwa huwa navutiwa na wote. Movie zao, hasa falcon rising ya White, narudia kuiangalia kila mara, licha ya kuwa inaonekana imeandaliwa kwa gharama za kimaskini ( cheap)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
6,135
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
6,135 2,000
Udisputed 2 walikutana kwenye pambano nani alishinda?
Acheni michael jay white kumcompare
Sasa ndugu, zile si scene tu zinapangwa.. Hebu tafuta movie walizocheza independently hapo ndio utajua kuwa Boyka bin Scot Adkins ni balaa

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
6,058
Points
2,000
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
6,058 2,000
Wengi hapo juu wamekomenti kwa ushabiki juu kwa mtu ambae anampenda.Undisputed zote,zile movie wako na Van damme n.k zote ziko poa pia kwa bwana scot adkins.Ila kwa mtu mwenye jicho kali la movie huwezi muweka Scot mbele ya J white.J White ana uhalisia sana kwenye movie zake.Hana papara ni mtulivu na anajua kuvaa uhusika.
Hebu mcheki kwenye ile undisputed nadhani number 3 utajua jamaa ni mtu wa aina gani.Mcheki pia kwenye muvi ya blood and bone.Utaona jamaa ana kitu cha ziada.
Wote ni wazuri ila Scot kidogo alipata boost ya Van damme ndio maana wengi tukamjua sana.
 
gigabyte

gigabyte

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
1,199
Points
2,000
gigabyte

gigabyte

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
1,199 2,000
Kama wewe ni mpenzi wa movie zenye mapigano mengi mfululizo scot yuko vizuri ila kama wewe ni mpenzi wa movie zenye utulivu na uhalisia jai white yuko vizuri.Kwaiyo tofauti yao iko hivyo kutokana na waongozaji wao wanavyowadirect namna yakucheza ila kwa sifa za ziada za namna yao yauchezaji mimi namkubali zaidi jai white kwasababu anajitaidi kufanya uhalisia.
 
T

time theory

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Messages
767
Points
500
T

time theory

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2013
767 500
Wote wako safi, ni hadithi na waongozaji wa filamu husika wanaoongeza ama kupunguza ubora wao kwa watazamaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,615
Points
2,000
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,615 2,000
kwenye kuigiza scott kamwacha Jay white mbali sana,ila kwenye maisha halisi Michael J yuko vizuri zaidi katika martial arts kuliko scott
 
kingsize25

kingsize25

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
207
Points
500
kingsize25

kingsize25

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
207 500
Michael jay white all the way.....jamaa hata belts kamzidi scott.....movie zake haziitaji editing nyingi wala nn full reality...

Kwanza scott mwenyewe watu wameanza kumjua kwa shavu la undisputed daadek ikiongozwa na jai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
komba05

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
367
Points
500
komba05

komba05

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
367 500
Michael jay white all the way.....jamaa hata belts kamzidi scott.....movie zake haziitaji editing nyingi wala nn full reality...

Kwanza scott mwenyewe watu wameanza kumjua kwa shavu la undisputed daadek ikiongozwa na jai

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa, Michael jay white anajua usipimee! Kuna muvi inaitwa Falcon Rising, mamaae kila muda naichek! Jamaa anachapa usipimeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodjoe Borris

Kodjoe Borris

Member
Joined
Jan 15, 2017
Messages
95
Points
125
Kodjoe Borris

Kodjoe Borris

Member
Joined Jan 15, 2017
95 125
Wengi hapo juu wamekomenti kwa ushabiki juu kwa mtu ambae anampenda.Undisputed zote,zile movie wako na Van damme n.k zote ziko poa pia kwa bwana scot adkins.Ila kwa mtu mwenye jicho kali la movie huwezi muweka Scot mbele ya J white.J White ana uhalisia sana kwenye movie zake.Hana papara ni mtulivu na anajua kuvaa uhusika.
Hebu mcheki kwenye ile undisputed nadhani number 3 utajua jamaa ni mtu wa aina gani.Mcheki pia kwenye muvi ya blood and bone.Utaona jamaa ana kitu cha ziada.
Wote ni wazuri ila Scot kidogo alipata boost ya Van damme ndio maana wengi tukamjua sana.
Mdau umesema Undisputed zote wako na Van Damme HOW? alikua as director au co-starring maana sikumbuki kama van damme kashiriki hizi muvi from Undisputed ya wesley snipes na Ving Rhames ya 2002, then Undisputed 2 The last man standing ya Michael Jai White vs Scott Adkins aka Yuri Boyka (2006), Halafu Undisputed 3 Redemption ya Boyka vs hristo shopov (2010) na mwisho Boyka:Undisputed ya 2016 ipi dame yupo? Ukisema kuwa jai ni mkali kuliko scott nahisi pia ni umesema kwa upenzi tu lakini kwa list ya top male martial arts for past decade namba moja ni the late bruce lee namba 2 ni scott adkins 3 michael jai white source;IMDb: Best"Martial arts" actors - a list by controlfreak1981 Then ukisema scott kapata boost ya ya dame ndio akafahamika kwa "wengi" inategemea sana upo deep na martial arts movie kwa kiwango gani na usipende sana kugeneralize mambo filamu iliyomuweka katika ramani ya Kidunia scott adkins ni Undisputed 2 The last man standing ya 2006 wengi ndio walipomfahamu zaidi hapo wala van damme hakuwepo, kaanza kuact na damme mwaka 2008 katika shepherd the road patrol Adkins yupo vizuri judo, taekwondo, Ninjutsu, Karate, Capoeira, Jujutsu, , Jeet Kune Do, Krav Maga, Wushu. Michael jai white ndio alianza ku act na damme mwaka 1992 katika Universal Soldier so kama ni boost ya damme nahic huyu bwana ndio alitakiwa aipate but amejiestablish mwenyewa katika muvi zake hasa ile ya Tyson ya mwaka 1995 na nyingine nyingi kama za tyler perry why did i get married na nyingi za action nadhan hapa ndio kidogo value yao inapotofautiana katika martial arts kwani scott asilimia kubwa ya muvi zake ni actions ukilinganisha na michael ambae ana actions na other themes. Michael yupo fiti Shotokan, Taekwondo, Kobudo, Goju Ryu Tang soo Doo, Wushu,Kyokushin na Jujutsu na Ana BLACKBELT katika styles zote hizo. Kwa hiyo ukiangalia uhalisia Michael Jai White yupo Juu kuliko Scott Adkins ila wenyewe huko wanona tofauti.
 

Forum statistics

Threads 1,404,560
Members 531,653
Posts 34,457,195
Top