Scott Adkins vs Michael Jay white

Mdau umesema Undisputed zote wako na Van Damme HOW? alikua as director au co-starring maana sikumbuki kama van damme kashiriki hizi muvi from Undisputed ya wesley snipes na Ving Rhames ya 2002, then Undisputed 2 The last man standing ya Michael Jai White vs Scott Adkins aka Yuri Boyka (2006), Halafu Undisputed 3 Redemption ya Boyka vs hristo shopov (2010) na mwisho Boyka:Undisputed ya 2016 ipi dame yupo? Ukisema kuwa jai ni mkali kuliko scott nahisi pia ni umesema kwa upenzi tu lakini kwa list ya top male martial arts for past decade namba moja ni the late bruce lee namba 2 ni scott adkins 3 michael jai white source;IMDb: Best"Martial arts" actors - a list by controlfreak1981 Then ukisema scott kapata boost ya ya dame ndio akafahamika kwa "wengi" inategemea sana upo deep na martial arts movie kwa kiwango gani na usipende sana kugeneralize mambo filamu iliyomuweka katika ramani ya Kidunia scott adkins ni Undisputed 2 The last man standing ya 2006 wengi ndio walipomfahamu zaidi hapo wala van damme hakuwepo, kaanza kuact na damme mwaka 2008 katika shepherd the road patrol Adkins yupo vizuri judo, taekwondo, Ninjutsu, Karate, Capoeira, Jujutsu, , Jeet Kune Do, Krav Maga, Wushu. Michael jai white ndio alianza ku act na damme mwaka 1992 katika Universal Soldier so kama ni boost ya damme nahic huyu bwana ndio alitakiwa aipate but amejiestablish mwenyewa katika muvi zake hasa ile ya Tyson ya mwaka 1995 na nyingine nyingi kama za tyler perry why did i get married na nyingi za action nadhan hapa ndio kidogo value yao inapotofautiana katika martial arts kwani scott asilimia kubwa ya muvi zake ni actions ukilinganisha na michael ambae ana actions na other themes. Michael yupo fiti Shotokan, Taekwondo, Kobudo, Goju Ryu Tang soo Doo, Wushu,Kyokushin na Jujutsu na Ana BLACKBELT katika styles zote hizo. Kwa hiyo ukiangalia uhalisia Michael Jai White yupo Juu kuliko Scott Adkins ila wenyewe huko wanona tofauti.
Yeah katika kuigiza action movies Scott Adkins yupo bora zaidi ya Michael Jai White lakini katika ubora wa ujuaji mahiri wa martial arts Michael Jai White yupo juu.

Scott anaigiza utafikiri ni uhalisia kuliko Michael aigiza unajua maigizo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom