Let me ask you a simple question,Mkuu Mkandara nakubaliana na wewe kuwa tunatakiwa tuwe na takwimu halisi za uchumi, ziwe wazi ili uelewe.
Lakini kabla ya kupata takiwmu kuna kitu kunaitwa equity na equality. Mchango wa wa Zanzibar kwenye muungano unafuata msingi wa Equity, yaani kubeba mzigo kutokana na uwezo wake. Bahati mbaya hata hilo haifanyi.
Lakini kwemnye kunufaika wanakuwa wa kwanza kusema wanataka equality, yaani nusu nusu. Wanataka idadi ya mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje iwe sawa kwa wabara na wavisiwani, bila hata kujali proportion ya idadi ya watu au hata bila kujali mchango wao kwenye MoFA.....huwa nacheka sana nikisikia wanasema, nafasi za udhamini elimu ya juu (nusu kwa nusu) mabalozi wetu nje nusu kwa nusu(equality), lakini kwenye kuchangia gharama za kuendesha wizara hizo hata siku moja hawasemi nusu kwa nusu (wanataka equity).
Mkuu Mkandara litakuwa ni jambo la maana kama tukipata takwimu na kuziweka hapa uangalie wazi ndio utajua kuwa, ni vizuri ikiwepo Zanzibar na ikiwepo Tanganyika. Otherwise Zanizbar ife kama ilivyokufa Tanganyika.
Aaah! ndugu yangu utawaweza hawa. yaani wanashindwa kabisa kuelewa kwamba Bungeni ni mahala muswada, sheria na usimamizi wa serikali unakwenda kwa idadi ya wawakilishi kwa nchi. Sasa kweli Zanzibar ikiwa na wabunge 10 kuna kitu kitakachopitishwa kwa niaba yao (upigaji kura) zaidi ya bara kufanya maamuzi yote! Kuna umuhimu gani wa kupiga kura ikiwa haitapatikana akidi jambo ambalo wao wenyewe leo wanailalamikia CCM juu ya rasimu hii ya katiba jinsi CCM walivyowachezea rafu.Maine na California zinawakilishwa na Senators wawili kwa kila state.
State power is balanced by the Senate, kwa hiyo population itself is not a determinant of representation. Thats what you failed to explain, unless you purposely ommitted that fact, which is not only low, but a bit trashy.
Mwenzetu unayejua uhasibu hebu tusaidie kidogo hili suala. ZNZ wamedai 21% ya ajira. Ni kigezo gani kimetumika kufikia hapo? Hizi ni hesabu hivyo tufafanulie mkuu. Halafu tutaendelea baada ya hapo.Mkuu hata Bongolander mwenyewe hailewi mahesabu inahitajika mhasibu hata kuwapa darasa zuri zaidi kwa sababu nyie Mnachukulia 10 -1= 9 yaani 10 za Muungano ukitoa 1 za Zanzibar zinazobakia ni za Tanganyika! lakini inavyoonyesha hizi ni za Muungano hamikubalini nalo.. Huu ndio mtazamo wenu lakini ukweli ni kwamba 10 - 1, hiyo moja ni kwa matumizi ya maswala ambayo Zanzibar ina mamlaka nayo, ambayo ni kidogo sana hivyo mambo mengi makubwa bado yapo kwenye Muungano na yanashughulikiwa na serikali hiyo. Hivyo nasi huku ktk hiyo 9 tutatoa yetu sawa na 1 ya Zanzibar kwa matumizi yetu kisha zile zilizobakia ndio kwa ajili ya kuendesha serikali ya Muungano.
Ukilitazama swala hili ki juu juu hutaelewa kamwe, hivyo ni muhimu sana kwa mwenye kuonyesha matumizi lazima atuonyeshe kwanza hesabu ya bara ktk mambo ambayo tuna mamlaka nayo tumetumia ngapi na zilizobakia zimegawanywa vipi kwa kuonyesha mfuko huo. Kwa hiyo 4.5 kutoka 100 sio swala la kusema tumeubeba mzigo, wakati uwekezaji wa fedha asilimia 95.5 ni ktk matumbo ya watu.
Kwani wanawake wanapodai 50% ya uwakilishi huwa wanatumia hesabu gani? Kuiomba serikali ajira kwa asilimia 21 ni wazo zuri hata kama mimi ningekuwa mwakilishi wa sehemu yoyote, hii ni kuitaka serikali i invest kwa watu kama wewe umelala unataka nao walale?Mwenzetu unayejua uhasibu hebu tusaidie kidogo hili suala. ZNZ wamedai 21% ya ajira. Ni kigezo gani kimetumika kufikia hapo? Hizi ni hesabu hivyo tufafanulie mkuu. Halafu tutaendelea baada ya hapo.
Mkuu nikwambie mara ngapi Bunge la Dodoma ni Bunge la Muungano zinapopigwa kura kutokana na MUUNGANO lazima kuwepo na kipimo kama hiki ktk makubaliano baina ya nchi mbili zilizoungana. Hivyo hata sisi tuna asilimia 2/3 ambayo ni wajumbe wengi kuliko wao ukitazama kwa jicho hilo. Hii nikuweka mfumo bora wa kufikia makubaliano baina ya pande mbili sio swala la ukubwa wa nchi.Idadi ya wabunge hai determine maamuzi kwa mfumo wetu wa bunge.
1. Zanzibar imepewa 2/3 katika masuala ya muungano. In other words ni 2/3 ya 84 au 2/3 ya 15 bado itabaki 2/3
2. Kuna wawakilishi 5 kutoka BLW wanoingia bunge la JMT. Hao wanabeba maamuzi ya wawakilishi wa znz ndani ya bunge
Mkuu hujajibu swali, unachofanya ni hadithi.Kwani wanawake wanapodai 50% ya uwakilishi huwa wanatumia hesabu gani? Kuiomba serikali ajira kwa asilimia 21 ni wazo zuri hata kama mimi ningekuwa mwakilishi wa sehemu yoyote, hii ni kuitaka serikali i invest kwa watu kama wewe umelala unataka nao walale?
Mkuu nikwambie mara ngapi Bunge la Dodoma ni Bunge la Muungano zinapopigwa kura kutokana na MUUNGANO lazima kuwepo na kipimo kama hiki ktk makubaliano baina ya nchi mbili zilizoungana. Hivyo hata sisi tuna asilimia 2/3 ambayo ni wajumbe wengi kuliko wao ukitazama kwa jicho hilo. Hii nikuweka mfumo bora wa kufikia makubaliano baina ya pande mbili sio swala la ukubwa wa nchi.
2. Kuna wabunge wangapi kutoka vyama vya bara sijui wanawake, vilema na kadhalika ambao hawakuchaguliwa na wananchi mbona haongezi hesabu zao. Kuna wengine wa rais mwenyewe, mawaziri na hata vyama ambavyo hata havikushinda uchaguzi mkuu mbona huzungumzii hilo!. Bara tuna watu wasohitajika walobebwa wengi tu (kwa sababu maalum) ukijumlisha wote na wako bunge la muungano, hii kutokana na maagizo ya katiba yetu na kama hukuiafiki ulitakiwa ukae Bungela katiba mpya kulipiga vita na sio vita ya upande mmoja tuone kama ungefika mahala popote.
Kwani hesabu zilizokupa ni zipi kiais kwamba uchanganye ujazo na wingi? nilichokwambia ni jinsi ya mgawanyo wa mapato unavyoweza kuwa kwa wale wanaofikiria kwamba 10-1 kicnachobakia ni cha Tanganyika, haya ya ubunge yanatoka wapi kwani ukiw ana wabunge wengi ndio mgawanyo utaongezeka.Mkuu hujajibu swali, unachofanya ni hadithi.
1. Ni kigezo gani kimetumika kupata asilimia 21 ya ajira? Wewe umesema hatujui hesabu za std 7, na hilo si kosa ni mapungufu yetu. Sasa wewe unayejua hebu tueleze hizo zimepatikana kwa kutumia kigezo gani.
Niamshe mkuu, nimelela. Hakuna hadithi wala tararira, ni swali na jibu. Kama huna jibu una mambo 2. kukaa kimya wenye hoja waongee au una hoja uweke jamvini
2. Hatupo hapa kulinganisha akina mama na znz. Wanawake na wabunge wa kuteuliwa wapo pande zote.
Hilo ni la kuangaliwa. Na hao akina mama na wa kuteuliwa wapo kwa kutumia katiba ya JMT, hawana kakatiba kao pembeni kama nchi au taifa. Tunaongelea hawa wanaowakilishi kata(watu 2,500)
Hata hivyo tuna hoji uhalali wa watu 84 wanaokuja kuwakilisha znz tu, I mean wapo kwa masilahi ya znz walipiwe na Tanganyika. Hawa kama ulivyosema wanakuja kwa mambo machache yanayogusa znz, kwanini Mtanganyika awajibike kuwalipia?
Mtanganyika analipia kwasababu hakuna mahali umetuonyesha mchango wao. Au ni mikopo ndio mchango wao
Hebu tuendelee hapo mkuu, hakuna sababu ya kutoka povu na kuandika kashfa, hoja ndizo zinatawala jamvi
Copy and paste au weka link.... ili tujue source ni ipi na tuwe na easy accessibilty.
Copying and pasting is better than printing your own data....
because you know damn well the total revenue of "Sindiga" annually is not close to a trillion Shillings. C'mon brah!!
Kwa sababu Tanzania leo hii ndilo jina letu tunalotumika nje, Ukisafiri kwenda Dar kutoka nchi yoyote tunasema naenda Tanzania na najivunia jina hilo. Ukitaka kuzungumzia ya ndani hata wewe nakwita Mchambuzi hutaki na wala hujarudisha jina lako halisi na unaeleweka kuwa mchambuzi nani, na ndio muhimu kwetu sisi. Zaidi ya hapo nimeshakwambia mimi niko vizuri sana na Tanzania ikiwa hao Zanzibar watajitoa ktk Muungano huu mimi bado naona jina hili libakie kwetu kwani wamejitoa wao likiwa na maana ya Tanganyika na Azania, ushindi wetu..Iwapo hadi mwaka 1979, Tanganyika ilijulikana Kama Tanzania Bara na Zanzibar Kama Tanzania Visiwani, kwanini nMshirika mmoja wa muungano - Zanzibar hakurudishiwa jina lake halisi sambamba na Tanganyika? Mkandara, ebu tusaidie Katika hili. Kwa maana nyingine mkuu mkandara, kwanini katika kipindi chote cha miaka 50 ya muungano, Zanzibar kapitia majina ya Tanzania Zanzibar na Tanzanka visiwani, Kabla ya kurejeshwa Kama Zanzibar lakini Haki hiyo Tanganyika haikuipata?
Haya tuache hayo ya wabunge kwanza ili tusipate nafasi ya kukimbia hoja zinazohitaji majibuKwani hesabu zilizokupa ni zipi kiais kwamba uchanganye ujazo na wingi? nilichokwambia ni jinsi ya mgawanyo wa mapato unavyoweza kuwa kwa wale wanaofikiria kwamba 10-1 kicnachobakia ni cha Tanganyika, haya ya ubunge yanatoka wapi kwani ukiw ana wabunge wengi ndio mgawanyo utaongezeka.
Kwani wajumbe wa BLW hawapo katika katiba? ebu nenda sura ya tatu sehemu ya pili ya katiba (Bunge) uisome vizuri na unambie kifungu cha 78 na 79 vinasema nini. na Umeenda umoja wa wanawake kujua kwamba hawana katiba yao? katiba nini hata shirika lina katiba iwe Zanzibar. Katiba ni mwongozo tu mkuu wangu, watu hawajiendei hovyo pasipo dira. Yaani wewe unaandika tu madudu bila kuijua katiba yako.. hatari kubwa hii.
Mkuu mbona ukiulizwa maswali hutoi majibu? Jamvi linahitaji majibu.Mchambuzi,
Kwa sababu Tanzania leo hii ndilo jina letu tunalotumika nje, Ukisafiri kwenda Dar kutoka nchi yoyote tunasema naenda Tanzania na najivunia jina hilo. Ukitaka kuzungumzia ya ndani hata wewe nakwita Mchambuzi hutaki na wala hujarudisha jina lako halisi na unaeleweka kuwa mchambuzi nani, na ndio muhimu kwetu sisi. Zaidi ya hapo nimeshakwambia mimi niko vizuri sana na Tanzania ikiwa hao Zanzibar watajitoa ktk Muungano huu mimi bado naona jina hili libakie kwetu kwani wamejitoa wao likiwa na maana ya Tanganyika na Azania, ushindi wetu..
Hakuna Hesabu zinzotumika isipokuwa ni moja ya mbinu za uwezo wa kujenga hoja kwa sababu nenda kazitazame wizara zao na mambo wanayoshughulikia halafu utaona kwamba ipo haja kubwa ya kuwaongezea mamlaka laa sivyo ndio gharama zake hizi. kwani hiyo serikali zote ina watumishi wangapi hawafiki hata laki 4, ajira zinapatikana toka mashirika binafsi na ndizo tunazijenga zaidi ya utumishi wa serikali. Kama kuna viongozi bora wawajibikaji kutoka Zanzibar hata iwe asilimi 50 sintojali kwa sababu hawa wote wanafanya kazi chini ya mwongozo wa katiba mama wakiitumikia serikali ya Muungano. Nikimyima yeye kwa sababu ni Mzanzibar ndio tunarudi kule kule kwenye Kula nyama ya mtu, watapewa kina Chenge yatakuwa mabaya zaidi kuliko Mzanzibar.Haya tuache hayo ya wabunge kwanza ili tusipate nafasi ya kukimbia hoja zinazohitaji majibu
Asilimia 21 ya ajira, ni kigezo gani kimetumika?
Na ile asilimia 79 ya Tanzania, wznz nao wanaruhusiwa.
Ni kigezo gani kimetumika kupata asilimia 21, kuanzia hapo tuatkwenda mbele taratibu.
Kama katiba ni mwongozo hata mashirika wanayo, hebu tuambie shirika gani lililowahi kuvunja katiba kama znz walivyofanya 2010? Na pili, mwongozo gani unaomuondolea Rais madaraka tuna ufaninisha na wa KIUTA au UFI?Kwani wajumbe wa BLW hawapo katika katiba? ebu nenda sura ya tatu sehemu ya pili ya katiba (Bunge) uisome vizuri na unambie kifungu cha 78 na 79 vinasema nini. na Umeenda umoja wa wanawake kujua kwamba hawana katiba yao? katiba nini hata shirika lina katiba iwe Zanzibar. Katiba ni mwongozo tu mkuu wangu, watu hawajiendei hovyo pasipo dira. Yaani wewe unaandika tu madudu bila kuijua katiba yako.. hatari kubwa hii.
Umekubali kuwa hakuna hesabu za kupata asilimia 21.Hakuna Hesabu zinzotumika isipokuwa ni moja ya mbinu za uwezo wa kujenga hoja kwa sababu nenda kazitazame wizara zao na mambo wanayoshughulikia halafu utaona kwamba ipo haja kubwa ya kuwaongezea mamlaka laa sivyo ndio gharama zake hizi. kwani hiyo serikali ina watumishi wangapi hawafiki hata laki 4, ajira zinapatikana toka mashirika binafsi na ndizo tunazijenga zaidi ya utumishi wa serikali. Kama kuna viongozi bora wawajibikaji kutoka Zanzibar hata iwe asimlimi 50 sintojali kwa sababu hawa wote wanafanya kazi chini ya mwongozo wa katiba mama wakiitumiia serikali ya Muungano. Nikimyima yeye kwa sababu ni Mzanzibar ndio tunarudi kule kule kwenye Kula nyama ya mtu, na atapewa Chenge yatakuwa mabaya zaidi kuliko Mzanzibar.
Sasa nakupa majibu nya kihuni...
Hivi unafikiri kwa nini wenye mashirka binafsi wanapenda kuajiri Wakenya? ni kwa sababu sisi hatuna nidhamu kazini, wezi, wazembe na tunataka Utajiri wetu utoke humo humo. Mimi naafiki kabisa kuwaajiri Wazanzibar kuliko Wabongo maana kila mtu mchumia tumbo na kihulka ni sifa kuiibia serikali.
Nimeipenda hii thread
Tax and non tax revenues... zipo openly kwenye website ya TRA.Mchango wa singida kwa pato la taifa na mchango wa singida kwa Mapato ya kodi kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa mtazamo wako, nini tofauti ya analysis? Maana naona sasa tuanze kufundisha vidudu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Let me ask you a simple question,
Je, zanzibar ina "Potential" ya kukusanya 1 trillion Shs kwa mwaka?