Hakika unamagonjwa mtambukaMabeberu yamepoteana
Nahisi itakuwa uzuri zaidi tukiungana na Sudani ya Kusini pia sio na kijinchi kidogo kama Zanzibar tu!Maadam muungano wa England, Scotland na Northern Ireland kuunda United Kingdom umedumu kwa miaka 300!. Then nasi tusubiri angalau baada ya miaka 100 ndio tuanze kiwazia haya.
Muungano wao ni federations kama ilivyo USA lakini muungano wetu ni union fused together as one, it can't break.
Pole.
P
Ukiijuwa uzuri mipaka ya bahari ya nchi hizi mbili ndio utajuwa nani ataathirika zaidi ukivunjika Muungano!Hivi siku Zanzibar ikaamua kujitenga kutoka Tanganyika na kuwa nchi inayojitegemea kwa kila kitu, ni nani atakayepoteza zaidi?
Au ndiyo mtaanza tena kudai fidia ya mabilioni kwa kisingizio Tanganyika iliwadhulumu tangu mlipoungana mwaka 1964? Ila Wazanzibar wakati fulani mpunguze ulalamishi aisee! Mbona mnafaidika zaidi na Muungano kuliko hata sisi Watanganyika!
Binafsi naunga mkono hoja ya kupunguza au kuondoa kabisa kile kinachoitwa "Kero za Muungano" ila siyo kujitenga kabisa na ndugu zenu wa damu wa Tanganyika. Nahisi mtaathirika zaidi kuliko kunufaika na huko kujitenga mnakotaka.
Ukiijuwa uzuri mipaka ya bahari ya nchi hizi mbili ndio utajuwa nani ataathirika zaidi ukivunjika Muungano!
Mwaka 1886 (Angro German agreement) 10 Miles coastal strip in Mainland ilikuwa mali ya Sultan wa Zanzibar ikiwa pamoja na Lamu,Pate n.k.Piga hesabu 10 inaishia wapi?Laki Ujerumani alinunua hizo 10 Miles kutoka kwa Sultan wa Zanzibar hiyo ni Angro German agreement 1890.Waambieni wasifute history Kama wanavyojidanganya wanasiasa mtasababisha matatizo hasa kwa kizazi kisichojua historia yao Kama wewe.Kuna mtu aliwahi kuniambia ukanda wa pwani wote ni Zanziba
Kwa hapa Der mpaka wa Zanzibar na Tanganyika upo kimara maana yake ni kwamba 90% ya jiji la Dar ni eneo la Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ikipendaroho, exactly hiki ndicho kinakwenda kufanyika kwenye mtangamano wa Africa Mashariki, tumeanza na customs union, tuko kwenye common market, tunakwenda kwenye free labour migration, free movement, hakuna kutumia passport, tunakuja muungano wa sarafu na kumalizia kwa political federation tunakuwa nchi moja masikini Zanzibar itakuwa kama Lindi!.Nahisi itakuwa uzuri zaidi tukiungana na Sudani ya Kusini pia sio na kijinchi kidogo kama Zanzibar tu!
Yes Wajerumani walinunua hiyo 10 miles costal stripe toka kwa Waingereza kwa kubadilishana na kisiwa cha Hellingoland. Jina jingine la hiyo treat inaitwa Hellingoland Treaty.Mwaka 1886 (Angro German agreement) 10 Miles coastal strip in Mainland ilikuwa mali ya Sultan wa Zanzibar ikiwa pamoja na Lamu,Pate n.k.Piga hesabu 10 inaishia wapi?Laki Ujerumani alinunua hizo 10 Miles kutoka kwa Sultan wa Zanzibar hiyo ni Angro German agreement 1890.Waambieni wasifute history Kama wanavyojidanganya wanasiasa mtasababisha matatizo hasa kwa kizazi kisichojua historia yao Kama wewe.