Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Huyu Mjinga hafai hata kurudi Uraiani wamfunge hata miaka 100 afie jela.
 
Kamanda wa polisi kanda maalum ya mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi lake limemkamata mtuhumiwa ‘Scorpion’ anayetuhumiwa kuhusika katika tukio la kumtoa macho, kumchoma visu na kumpora mfanyabiashara Said Ally katika maeneo ya Buguruni Sheli.
Kamanda Sirro ametoa kauli hiyo Jumapili hii Buguruni kwa Mnyamani, jijini Dar es Salaam, wakati wa mkutano wa kujadili usalama katika eneo hilo ulioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.


Video ya mtuhumiwa akielezea kisa chake

Alisema mtuhumiwa huyo anayejulikana kwa jina maarufu kama ‘Scorpion’ alikamatwa baada ya polisi kupewa taarifa za matukio ambayo ameyafanya ikiwemo la kumchoma kisu, kumtoa macho na kumsababishia upofu, Said Ally.

“Nimesikia wananchi wanalalamika hapa kuwa tumeshindwa kumkamata Scorpion, ni nani kwa Jeshi la Polisi asikamatwe? Tayari tumemkamata na sheria itachukua mkondo wake, hakuna mtu anayeweza kushindana na jeshi,” alisema Kamanda Sirro.

Aidha Sirro alisema baada ya kumkamata mtuhumiwa huyo na kuhojiwa aliutaja mtandao wake wote na tayari wameukamata. Awataka wakazi wa eneo hilo kutokuwa na hofu kwani mtuhumiwa huyo hayupo tena katika eneo hilo.

“Najua suala hili bado lipo mahakamani hatuwezi kulizungumzia sana, bahati nzuri alipokamatwa alieleza aliyoeleza na tukafanikiwa kuukamata mtandao wote, hivyo hakuna haja ya kuwa na uwoga eneo hili lipo salama,” aliongeza.
 
duuuuh hivi ni kweli wananchi walikuwa kimya bila kumsaidia? basi buguruni kuna wakatili sana
 
Wanaume wa dar kama mmo humu mjitasmini vizuri mlikimbizwa na vitoto vya mbwa mkawaacha wake zenu nyuma leo hii kisa kamtu kamoja tu saa mbili usiku mmo ndani.Huku kwetu kenyewe ndo kangehama mji.
 
Wanajamvi tuache sheria ichukue mkondo wake na kuhamasisha wananchi wakatoe ushahidi ili apatikane na hatia huyo asiye na tofauti na gaidi
Hakuna hapa.......yeye alifuata sheria wakati anamfanyia mwenzake ubaya........huyo ni wakumpeleka buguruni pale watu wanashika magongo wanaanza kutembeza kichapo..........piga huyo mbwa hadi awe nyama ya kusaga.......halafu hiyo maiti yake wanakwenda kulisha mbwa mwitu au simba huko porini.......mbwa kabisa huyo natamani nilione sura yake paka shume hilo halafu nilinase kofi moja.....
 
Sehemu zingine watu hujichukulia sheria mkononi kuwa poteza duniani wajinga kama huyo maana kumpeleka magereza ni sawa na kuendelea kumfuga!

wewe unataka Mh auawe..?ikiwa hivyo chadema na hakli za binadamu watamshitak Magufuri huko marekani na ulaya
 
Hawa wababe mbona hawaendi kule Ukuryani Ukonga? Wanapiga wanaume wa dar mitaa ya huku waambie waje ukonga aone moto wa wakurya
 
Sehemu zingine watu hujichukulia sheria mkononi kuwa poteza duniani wajinga kama huyo maana kumpeleka magereza ni sawa na kuendelea kumfuga!
Picha ya huo scopion iko wapi? Nashukuru polisi kwa kimkamata, ila naomba picha yake kama kweli ka kamatwa. Watu bado tunauoga!
 

sasa uyo SCORPION ange wekwa gereza moja na MBUZI YAKE KAMBA chumba kmoja mtu bee tu {2} af wakatumikia kifungo umo dan cjui ingekuwa 3RD world war
 
Hawa wababe mbona hawaendi kule Ukuryani Ukonga? Wanapiga wanaume wa dar mitaa ya huku waambie waje ukonga aone moto wa wakurya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kule kuna ma ANACONDA [emoji23][emoji23][emoji23] kabla hajapelekwa polsi angekuqa kisha tendewa alcho kitenda x100
 
Shit!shit! Mbona kama nimemuona Buguruni Marapa leo jioni? Au ni pacha wake yule?😳😱
 
Anastahili adhabu kali ili iwe fundisho na kwa wengne pia wenye tabia Kama hizo katka jamii
 
Ila nashangaa sana hao raia na wafanyabiashara wahio sehemu inamaana wanashindwa mdihibiti huyo psycho kisa mpiga ngumii that a damn shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…