Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Wamtoe macho tu huyo scorpion. Halafu wamrudishe mtaani aone uchungu wake
 
Kwa ushahidi uliotolewa na wananchi huyu mhalifu anaenda kujaza bure magereza ....alazwe chini tu!
 
Alafu mashitaka yawe ni kukusudia kuua. Huwezi kutoboa mtu macho na kumsukumia barabarani agongwe iwe unyanganyi tu.
 
Mm nilisema jana, hakuna mtu anayeweza kushindana na polisi daima, watu wanalalamika eti cjui nn, eti polisi waoga wakat kmbe hzo taarifa za uharifu hatutaki kuzitoa.
Mfano mzuri n MANGEKINAMBI yule dada anaporomosha matuc sna tena sna!! Je kuna ambaye amemreport polisi?
 
Jaman TISS mko wapi? Watu kama hao mnawafuta kimyakimya!
Wenzio wanailinda ccm sio vidampa ninyi mkifa hawana shida.

Wangesikia Lowasa anahutubia hapo wangekuja haraka sanaa lakini kwa RAIA kutendewa uovu intelejensia yao haikamati hizo habari
 
Dawa na kumchoma sindano hata ya sumu afilie mbali, waseme kajinyonga
 
kuna uwezekano mkubwa huyu scorpion kushinda kesi hii baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa kwani dalili zinaonesha kuwa hakuna mtu atakaejitokeza kama shahidi,kutokana na hofu ya jamaa kuja kufanya yake ikiwa atashinda kesi cha msingi mashuhuda wajitokeze kwa ajil ya ushahidi
 
ilitakiwa apotezwe huyo hakuna cha miaka wala nini..huko anaenda kukomaa zaidi..
Huyo labda akaokokee gerezani,atakasike kwa Damu ya Yesu otherwise sijui tu,mbona hali itakuwa ngumu kwa wote watakaoshiriki kumtia hatiani
 
Kwa Nn awape ulemavu wa kudumu watu wasio na hatia wakati wakijitafutia riziki zao na watoto wao, nashauri askari kanzu kiintellegencia walimalize hili ili tupate taarifa njema baadae. Jambo hili ni zaidi ya ufisadi
 
Police hawatakiwi kuruhusu mtu kama huyu apate umaarufu.mpaka akina Gea habib waseme ndo akamatwe ili hali ameshafanya matukio mengi.hv tumefikia hatua ya mtu kufanya uhalifu hadharani huku watu wanaangalia bila hata kureport!?.its real painful kila nikijaribu kuvaa viatu vya mhanga havivaliki kwa kweli.
 
Wanikabidhi mimi mtu kama huyo ninajua muarubaini wake kifungo tupu hakitoshi kama mjeruhiwa anavyoteseka milele na upofu vivyo hivyo huyo muhalifu nayeye ateseke milele.
 
Ndio maana uwa napingana na wanasheria wasomi kuhusu adhabu ya kifo. Tuna kila sababu ya kuiandika vizuri. Ila uyu mtu hajawa na sifa za kunyongwa. Inatakiwa ang'olewe meno na atobolewe macho kama alivofanya kisha apelekwe mitaa ya kwao akaonje machungu. Hii mimtu niliisikiaga kule fire arusha ambako jamaa lilikuwa linaiba na kukaba saa8 mchana na polisi wanaambiwa kila siku. Kitu ambapo kilisumbua akili yangu ni pale lilipomvizia mtoto wa fomu 2 na kumuoa kwa lazma. Likawatisha wazazi kuwa atakayeenda kushtaki ataishia uko na kweli binti hakutetewa kokote hadi wazazi wake wakawa waoga. Ikawa ndio limeoa ivo. Huku duniani kuna unyama wa ajabu
 
Mtu kama huyu ukinikabidhi mimi naanza kumkata kidole kimoja kimoja kuanzia miguuni..namchoma mguu mmoja unaungua kabisa..
Nahamia mdomoni nakata lipsi kidogo kidogo..

Yani mpaka akate roho anakuwa ameshaelewa kuwa duniani kuna watu wanyama kuliko yeye..
 
Duh, afadhali huyo fedhuli kakamatwa, watu kama hao haina haja ya ushaidi ni kuwapiga mvua tu iwe fundisho kwa wengine
mvua ya nn...m naona wamtangulize kwa mungu awahi kujibu mashtaka
 
Back
Top Bottom