Scorpion akiwa katika mafunzo ya mapigano

for more about scorpion nenda uwatch youtube DUME CHALLANGE 2012
 
Kuna mjinga kaniletea usenge hapa nimetamani kumtoboa.
By the way si tuliocheza mchezo km huo miaka ya 90 ilikua kawaida tu,tulikua hatufiki huko ila mateke na ngumi za mbavu utakaa tu.
Lakini ilikua umekutana na adui kweli kweli then tumia kila kitu.
Ndo pale unamtoboa macho mtu,unampiga vidole kwa nguvu mpk vinazama ndani ya ngozi.
Hapo ni km umeshindwa kupambana nae.hatua ya mwisho ni hiyo kumngoa mtu macho.
Scorpion amengoa macho moja kwa moja alipokasirika.si nzuri akiwa km mpiganaji.angeweza kumvunja viungo adui wake kawaida tu na kesi isingekuwa sensitiv.
Haya mambo yalifanyika zamani,Mtu hasimami kwa kichapo,na mkikutana mnasalimiana km mlikua kwenye daku jana usiku
 
Chupi tu huyo anakutanaga na vitoga tu ngoja aingie anga za kiume aone mziki wake
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesoma comment yako nikaangalia username nikacheka sana [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
huyo brigedia uchwara ana mikwala kibao
 
Reactions: ibn
Naona wamemtafutia umaarufu, na atakaposhinda kesi utasikia ofa za kuigiza zitakavyojipendekeza
mbona amekwishawai kutoa filamu yake ya mapigano akiwa na jengua pamoja na mzee chiro we nenda kwenye akaunti yake ya facebook salim njwete
 
mbona amekwishawai kutoa filamu yake ya mapigano akiwa na jengua pamoja na mzee chiro we nenda kwenye akaunti yake ya facebook salim njwete
Sasa watu wataanza kufuatilia kwa karibu filamu zake kuliko ilivyokuwa awali kabla ya tukio
 
Kama kweli alijifunza huo mchezo asingeweza kumtoboa mtu macho. Alikutana na kitonga tu. Wajuvi hawako kihivyo. Ni sawa na dume linafanya mazoezi kila siku aende akampige mkewe manguni. Huo kwetu tunauita Usoro.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…