sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Ile njia ya bonyokwa from pale jela vile ilivyo nyembamba si watakugonga na gari zaoHizo scooter zinapanda milima? Pia si zinahitaji barabara ya Lami?
Huku kwetu Bonyokwa zinafika nikitokea Ubungo?
Zinapita njia moja na magari au zinapita kwa wananchi wanapopita?
Tanzania kuna 'complications' sana. Hata Uber inaenda kibishi.