Scooter sharing: inawezekana Tanzania??

Scooter sharing: inawezekana Tanzania??

Ziko programmed kutofanya kazi endapo hutolipia.

Na ukiibeba uondoke nayo, nyingi kama siyo zote zina security features.

Lakini wabongo kwa ubishi wanaweza kuzibeba hivyo hivyo...

Sad!

Hahaaa.

Sad indeed.
 
Wabongo hatuna jema kama mtu anaweza kuchukua peni ofisini ampelekee mwanae nyumbani hizo scooter watu watauza hata screpa
 
kwanini isiwezekane kama jamii ikifundishwa utaratibu wa kuzituimia. Tanga walikuwa na utaratibu wa kukodisha baiskeli miaka ya nyuma na mambo yalikuwa yanakwenda sawa. Tatizo ni miundo mbinu kama njia za kupitia hizo scooter la sivyo zitaharibikaharaka sana.
 
Mkuu mie nazikubali sana Hover Board hasa aina ya SWAGTRON najiandaa kuagiza.

Nazo feature zake ni kama hizo tu sema zenyewe hazina kishikio.

Hoverboard utaiendeshea wapi hapa bongo?

Au haupo bongo?
 
Hizi technolojia zinaweza anzishwa vyuoni, UDSM na UDOM n very convinient for this.
Plus kwa ss hivi vyuo vina 20,000+ student. Its a right time kuanza kuzitumia ss
 
Hizi technolojia zinaweza anzishwa vyuoni, UDSM na UDOM n very convinient for this.
Plus kwa ss hivi vyuo vina 20,000+ student. Its a right time kuanza kuzitumia ss

Enrollment kwenye vyuo vyetu imepanda hivyo?

How big is the UDSM student body?
 
Bongo waviiba na kuvipeleka majumbani kwao kuwapa watoto wao
 
Scooter sharing ni kwa mjini tu au labda kwenye college campuses.

Haziko designed kwa masafa marefu kivile.

Kwa muonekano nadhani hata kwenye barabara za vumbi zinaendesheka....

Na umesema kweli, hata ridesharing kibongo bongo ni kama wanalazimisha tu.
Kibongo bongo inawezekana hasa morogoro road kuna side walk ya kueleweka.

Changamoto inaweza kuwa uharibifu miongoni mwetu hasa wale wasio wastaarabu

Kingine ni umeme.(hii inaweza kuwa na suluhisho)

By the way hii inaweza kuwa fursa kwako km ukija bongo na kuifanyia kazi. Unaweza kuibeat mwendo kasi kirahisi
 
Kweli hii yaweza kuwa fursa iliyo viable kabisa....
 
Hizi technolojia zinaweza anzishwa vyuoni, UDSM na UDOM n very convinient for this.
Plus kwa ss hivi vyuo vina 20,000+ student. Its a right time kuanza kuzitumia ss
Sometimes fursa sio mpaka aifanye mtu fulani....inaweza kuwa hta wewe!
 
Back
Top Bottom