Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.
Dolari tena jamani? Tena hamsa!! Maana sio hamsini hio sasa, ile sticker ya Let Love Lead ndio dolari hamsini??? Mmmhh lazima mtulipe VAT sasa jamani Kha!! Bibi yangu kavuta ndio tumemzika Jumamosi pamoja na kununua hizo sticker aaaghh please
Kaunga: Kwa mwaka it depends na taarifa tunazopeleka SCOAN...zikipitishwa, ile idadi ya watu waliopitishwa ndio tunawafanyia utaratibu wa kwenda. Na it depends pia na tatizo la mtu linalompeleka.....
Swala la ndugu yako, nitalifuatilia....lakini sina uhakika kwa muda wote huo mpaka sasa hajaenda. Huenda labda akawa na matatizo migration au hajakamilsha pesa.
Huyo martha kaaya c mlisema mmebadilisha sbb za nyodo zake kwa wateja?
Sio Biashara!
watu8 Mungu akubariki sana, kuna baadhi ya memba wanauliza maswali wakiwa tayari na majibu yao vichwani jibu likitoka nje ya lile lake anakuwa Mbogo!!!Hata usihangaike kujibizana na watu humu, asiyeamini na aendelee kutokuamini na yule aliye msafi na azidi kujitakasa.
Unajua suala la imani si suala la kuhukumiana maana ndivyo mtu alivyochagua kuamini na kwa imani yake anajiona yupo sahihi.
batchu: Tusamehe ndugu yetu....hatuna tabia hizo na usituchafulie tafadhali.
annabrenda: wengine mnamajungu tu. Barikiweni sana
Imeandikwa: Mmepewa {Neno} Bure, Toeni {Neno} Bure!
Mathayo 10:8
Nenda Nigeria ukapewe bure..
mi nadhani Huyu dada kaweka vizuri maelezo yake .... kuna gharama za usafirishaji .. ndio maana anatoza dola 50$
Hata hapo ulipo Mungu yupo.Nenda Nigeria ukapewe bure..