Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 906
- 1,323
Yeah sasa kama Ronaldo anataka kuanza first eleven akubali kuwa goalkeeperš¤£š¤£Nadhani kichwa cha mada umepotosha boss, Hajamtaka kuwa goal keeper. Amesema kwa umri wa miaka 41 uhakika wa kuanza kwenye kikosi cha kwanza ni goal keeper ndio mwenye hiyo nafasi akimaanisha Cr7 anapaswa kuanzia bench sababu yeye ni mshambuliaji.
Hahaha, hoja hapa ni kutokumlisha gwiji maneno. Sidhani kama alimaanisha Ronaldo apangwe nafasi ya goal keeper, alichomaanisha ni Ronaldo hapaswi kuanza sababu ya umri wake.Yeah sasa kama Ronaldo anataka kuanza first eleven akubali kuwa goalkeeperš¤£š¤£
Anakejeli huyo hujamuelewa tuš¤£Hahaha, hoja hapa ni kutokumlisha gwiji maneno. Sidhani kama alimaanisha Ronaldo apangwe nafasi ya goal keeper, alichomaanisha ni Ronaldo hapaswi kuanza sababu ya umri wake.
Yes, but kapachika identity ya scholes kama ndo aliyetoa kejeli ilihali scholes alitoa professional opinion. šAnakejeli huyo hujamuelewa tuš¤£
Huyo Scholes ndio mwenye kejeliš¤£Yes, but kapachika identity ya scholes kama ndo aliyetoa kejeli ilihali scholes alitoa professional opinion. š
Kwani umri wenyewe si ndio huu aliokuwa nao sasa?Hakuna cha ajabu hapo jata huyo mesi akifika umri wa ronaldo hataweza kucheza
Ronaldo ni tegemezi lao.Yan timu nzima ya ureno imeshindwa kuidhibiti congo huku ikiwa nawachezaji wazuri kila eneo leo analaumiwa cr7 pekeake hao akina Bruno wamefanya nn uwanjana....aseee uchawi kweli upo
Scholes ana wivu sanaš¤£š¤£Roger Milla alikiwa world cup akiwa na miaka 40 aache wivu.
Kabisa.Sema Ronaldo naye ni mbishi sana
Kawabeba kwamiaka kibao saiv zamu yao kumbeba wanaleta uduanziRonaldo ni tegemezi lao.
Watu wanataka awabebe kuchukua World Cup.Kawabeba kwamiaka kibao saiv zamu yao kumbeba wanaleta uduanzi
We unadhan kuna fala ataongea ujinga huo pale argentina akabaki salama, mulize dogo gernachoHaya ndo madhara ya kumtukuza mchezaji fulani kuliko wengine, kwamba ukimkosoa mchezaji fulani bc dunia nzima watakuona umekosea.
Teammate wa Ronaldo aliongea Ukweli 100% kwamba Ronaldo n mchezaji kama wachezaji wengine, ila kwakuwa binadamu ni wapuuzi bc anaonekana yeye n mbaya
Mkuu mimi ni team Messi ila napata ukakasi kidogo kusema Ronaldo ni mchezaji wa kawaida labda niseme tu hajafika level ya Messi na ameisha kwa sasa.Haya ndo madhara ya kumtukuza mchezaji fulani kuliko wengine, kwamba ukimkosoa mchezaji fulani bc dunia nzima watakuona umekosea.
Teammate wa Ronaldo aliongea Ukweli 100% kwamba Ronaldo n mchezaji kama wachezaji wengine, ila kwakuwa binadamu ni wapuuzi bc anaonekana yeye n mbaya