Scholarship Book - The Secret from Makulilo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scholarship Book - The Secret from Makulilo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAKULILO, Feb 2, 2012.

 1. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Ndugu wadau wa Jamii Forums (Jukwaa la Elimu)

  Kama hapo awali nilipowadokeza kuwa ninaandika kitabu kinachohusu mambo ya udhamini wa elimu ughaibuni...jina la kitabu ni SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES IN AMERICA AND EUROPE: The Secret From Makulilo kinaendelea vizuri. Ninaendelea na kuandika manuscript, na kitakwenda kwa publisher kabla ya mwezi wa tano (May), na kuwa sokoni baada ya hapo.

  Unaweza kusikiliza BOOK TRAILER (Audio) ya kitabu hicho kwenye youtube channel yangu Scholarship Book - The Secret from Makulilo - YouTube

  Moja ya Chapters ninayoandika katika kitabu hicho ni Frequently Asked Question (FAQ) on Scholarships, hivyo basi nianomba kama una swali ambalo ungependa litolewe ufafanuzi ukiniandikia hapa nitalifanyia kazi. Nina maswali baadhi, lakini napenda kupata maswali ya wadau wengi ili niweze kujibu na kutoa ufafanuzi wa kuwasaidia wengi zaidi.

  View attachment 46531
  Book Cover ndio nimeanza kuifanyia kazi, ila kwa haraka haraka ni moja kati ya ambayo nimeipenda, hivyo nitaichukua sampuli hii na kuipeleka kwa professional book cover designers kwa maandalizi ya kitaalam.

  Nawatakia siku njema

  MAKULILO
   
Loading...