benaboy
Member
- Oct 24, 2015
- 42
- 32
Kama kuna mdau anajua utaratibu wa kuapply sholarship kwenda nchi kama ukraine , china , Malaysia au nchi nyingine ambazo ni mshirika mzuri kusaidia elimu ya bongo naomba utupie.
Kuna dogo anahitaji utaratibu sema yupo form six saiv pale tosamaganga anapiga PCB na ndoto yake ni kwenda kupiga MEDICINE.
Sasa anahitaji utaratibu wa kuapply na link zenye offer kwa mwakani na application form kabisa halafu bahati mbaya hili limenipita kushoto..kama kuna mdau anaweza okoa jahazi afanye hivyo nene.