Scanned by CamScanner kwenye nyaraka za serikali

Scanned by CamScanner kwenye nyaraka za serikali

Gamba la Mbu

Senior Member
Joined
Jun 28, 2020
Posts
159
Reaction score
419
Wakuu habarini!
Binafsi nimekuwa mkereketwa sana kila nionapo nyaraka rasmi hususani ya serikali inapokuwa na maandishi haya kwa chini

" Scanned by CamScanner "

Huwa naona nyaraka hiyo inajitolea uthamani wake na hivyo kupunguza au kuondoa kabisa uhalali wake

Wakati nafanya kazi shirika fulani la serikali nilikuwa natumiwa nyaraka za hivi mara kwa mara lakini niliweza kuzi- crop kwanza kisha nikaendelea nazo.

Jinsi ya Kuondoa hili neno" Scanned by CamScanner "

Ni rahisi sana. Hakikisha unapopakua application yako una-signup kwanza kabla ya kuanza kuitumia. Ukisha jisajili basi hutaliona hilo neno chini ya nyaraka uliyoi-scan.

Ni muhimu sana kuipa uthamani nyaraka yako.

Mfano hilo chini ni tangazo la kazi na limewekwa kwenye tovuti ya serikali. Inafikirisha kidogo.

Gamba was here.
Screenshot_20200925-054709_Acrobat for Samsung.jpg
 
Sasa stationery kwenye ofisi za serikali hamna watu wanajiongeza na li CamScanner ya simu
 
Wakuu habarini!
Binafsi nimekuwa mkereketwa sana kila nionapo nyaraka rasmi hususani ya serikali inapokuwa na maandishi haya kwa chini

" Scanned by CamScanner "

Huwa naona nyaraka hiyo inajitolea uthamani wake na hivyo kupunguza au kuondoa kabisa uhalali wake

Wakati nafanya kazi shirika fulani la serikali nilikuwa natumiwa nyaraka za hivi mara kwa mara lakini niliweza kuzi- crop kwanza kisha nikaendelea nazo.

Jinsi ya Kuondoa hili neno" Scanned by CamScanner "

Ni rahisi sana. Hakikisha unapopakua application yako una-signup kwanza kabla ya kuanza kuitumia. Ukisha jisajili basi hutaliona hilo neno chini ya nyaraka uliyoi-scan.

Ni muhimu sana kuipa uthamani nyaraka yako.

Mfano hilo chini ni tangazo la kazi na limewekwa kwenye tovuti ya serikali. Inafikirisha kidogo.

Gamba was here.
View attachment 1579998
Sasa hutaki camscanner wajitangaze?
 
Nani kakudanganya kuwa awamu ya tano ilikuwa ni serekali?!Kile ni kikundi cha vibaka kinajificha kwenye kivuli cha serekali.Wewe uliona wapi serekali inanyima watu wake uhuru wa kujieleza?Wewe uliona wapi serekali inateka watu wake?Wewe uliona wapi serekali inaibia watu wake mafao ya kustaafu?Wewe uliona wapi serekali inakula hela za rambirambi ya majanga?Wewe uliona wapi serekali inapiga watu wake risasi?Wewe uliona wapi serekali inapiga marufuku vyama vingine kufanya shughuli za kisiasa ila chama tawala kinafanya?Wewe uliona wapi serekali inajiamulia mambo yake bila kuhusisha bunge kama vile ujenzi wa uwanja wa ndege chattle?
 
Back
Top Bottom