Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Siku za karidbuni nimeona kuna threads nyingi zinaanzishwa na scammers.
Cha Kushtua zaidi baadhi ya thread walizoanzisha scammers hapa zinagongewa like . Hii inaonyesha kuna watu wanaweza kuwanaswa kwenye mtego. Mfano kuna thread pia ilikuwa inatangza jamaa wanauzza simu kama iphone kwa bei chee,, kuna dada mmoja alitumia avator ya mremb ya kuvutia akaomba site yake iwekwe jf aili apate traffic milioni moja kutoka Tanzania..... Sijui kama Uongozi wa JF ulimkubalia. ..... etc
Sasa basi nimeshawishika tuhsirikiane ni vipi wenzangu mnaweza kutambua tovuti hatarishi
Mara nyingi tovuti hata rishi hazina sehemu unaweza uona physical address yao. Toovuti inaweza kutangaza inafanya bishara lakini haina contuct us huwezi jua kuwa ofisi zao zipo Nigeria Tanzania USA au UK. Jaribu kutazama hii tvuti NowExam: Best Practice & Professional IT Certification Study Materials,Guaranteed Certify! pia unaweza kungalia comment ya 4 katika hii thread. https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/159153-does-iphone-4-work-in-tanzania.html . kuna thread pia ilikuwa inatangza jamaa wanauzza simu kama iphone kwa bei chee. kuna dada mmoja alitumia avator ya mremb ya kuvutia akaomba site yake iwekwe jf aili apate link milioni moja kutoka Tanzania..... Sijui kama Uongoziwa JF ulimkubalia.
Anyway tuendelee ..... sasa unazitambuaje hizi tovuti za kitapeli??
Wadau tuendelee na binafsi nitaendelea kuongeza njia na mbinu wanazotumia kuwanasa waathirika na ni vipi unaweza kuwatamabua.
Otherwise mnaweza k u google pia "how to indetify scammers" then tuaandika hapa summary ya yale tuliyosoma
Nawasilisha........

- Ukitembelea alexa.com na kuweka jina la tovuti kupata tathmini yake mara nyingi rank unayopata haiendani na sifa wanazojipa hawa matapeli. Mfano hiyo tovuti ya noweexam ni ya 1,249,979 . na kwa traffic na haina takwimu ni ya nchi. Unaweza kuhakikisha hapa http://www.nowexam.com/ - Information from Alexa Internet
- Mara nyingi hizi tovuti zinakuwa zimeazishwa siku au miezi michache iliyopita. So ukiona tovuti nimpya na wakati huo huo kuna taratibu za kujaza fomu za taarifa zako na account zako basi huo unaweza uwa mtego
- Mara yingi ukifanya na mawasiliano ya email utagundua kuwa wanatumia free mail server. Japo wanatumia free mail server wanajaribu tumia jina linaloshawishii kuwa ni inaweza kuwa ni mail isio na shaka.