SBC Tanzania yapunguza bei ya vinywaji vyake

Soda za kampuni ya PepsiCo zinazotengenezwa Tanzania ubora wake uko chini sana kulinganisha na makampuni mengine au bidhaa za Pepsi toka nchi Nyingine

Wewe ni msemaji wa TBS au TFDA? Kiwango kinapimwaje pengine utuambie? Binafsi najua kunafomula ya kutengeneza kila kinywaji. Mamlaka husika ndio hukagua formula na kile kinachotengenezwa kama kinazingatia formula hiyo.

Anyway, pengine TFDA watafuatilia na kudhibitisha kama haya ni majungu ama kunaukweli.
 
Ww unasubiria TFDA au TBS wakwambie kitu fulani ubora wake uko chini? Utasubiri sana mkuu!

Ushauri tu ni kwamba ww ndio uwe TBS wa kila bidhaa unayotumia, ukiangalia kwny soko la bidhaa Tanzania ni 60 tu ndio zina ubora unaostahili, the rest ubora wake haukubaliki na ISO (International Standard Org)
 
Acheni kututisha bhana khaa ila mi pepsi naipenda kwa kweli
 
Hivi Kati Ya Soda Bia Na Mbege Niipi Yenye Madhara Kiimani Na Kiafya?
 
tupunguziwe na bia jamani dah!!! eti konyagi mzinga mkubwa tumepandishiwa hadi tzs 10000/= from 75000
 
Soda za kampuni ya PepsiCo zinazotengenezwa Tanzania ubora wake uko chini sana kulinganisha na makampuni mengine au bidhaa za Pepsi toka nchi Nyingine

Uko sahihi mkuu.Hata coke ya kutoka jirani tu hapo kwa wenzetu Kenya iko 'concentrated' huwezi kuilinganisha na ya hapa kwetu nahisi wanafanya 'dilution' sna hawa jamaa ila wapate bidhaa nyingi kwa malighafi kidogo.
 
Back
Top Bottom