Vipi mkuu......hujasikia kuhusu tusker light........kama nayo imefanyiwa namna.........?.........
Ni soda hizo....????
Washenzi tu hawa wamepunguza mikoa ya pwani tu,kwani wamesikia huku kijijini kwetu hatupendi kunywa soda
Azam cola anaua soko la hivyi vinywaji
Azam cola anaua soko la hivyi vinywaji
Azam cola anaua soko la hivyi vinywaji
Soda za kampuni ya PepsiCo zinazotengenezwa Tanzania ubora wake uko chini sana kulinganisha na makampuni mengine au bidhaa za Pepsi toka nchi Nyingine
Mbona mi huwa nauziwa 1,000/-, ila wengi wanauza 700/-
Mbona mi huwa nauziwa 1,000/-, ila wengi wanauza 700/-