Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Ni kodi wamepunguziwa au wameanza kuchakachua maana sasa hivi ni 500
Vipi kuhusu coca hawawezi kulalamika kama punguzo halitokani na upungufu wa gharama za uzalishaji?
Naomba mungu TBL na Serengeti nao wafuate nyayo za Pepsi
Vipi kuhusu coca hawawezi kulalamika kama punguzo halitokani na upungufu wa gharama za uzalishaji?
Naomba mungu TBL na Serengeti nao wafuate nyayo za Pepsi
Kampuni ya SBC Tanzania limited, watengenezaji na wasambazji wa vinywaji baridi, imepunguza bei ya vinywaji vyake kutoka shilingi mia sita hadi kufikia shilingi mia tano, kwa chupa yenye ujazo wa mililita 350 na 300.
Na kusema kuwa kupungua kwa bei hiyo hakuta athiri ubora wa soda zake.
Last edited by a moderator: