SBC Tanzania yapunguza bei ya vinywaji vyake

Kumbe?Sina habari mie,heri yenu nyie.
Watu na exposure zao.....

Always wahindi wanapenda kupata faida kubwa kwa uwekezaji mdogo, Angalia wenzao Coca-Cola wanavofanya vizuri sokoni, hawa wamewekeza hela nyingi kwny ubora wa bidhaa zao pamoja na kujitangaza kwa udhamini wa michezo na mambo mengine!

Ni aibu sana kwa franchise company kufeli kwny soko licha ya exposure kubwa wanayopata toka kwa kampuni mama (PepsiCo USA INC)

kumbuka kuwa PepsiCo Tanzania ilishawahi kufilisika miaka ya 90!
 
Eeh bwana eeh,nimejifunza kitu hapa.
Unaonekana mfanya biashara mahiri.
Ila kiukweli Coca siipendi,mara ya mwisho kuinywa kama sikosei ni mwaka 2012.
 
Nimesomea biashara kwa ngazi ya elimu ya juu nifah, Inawezekana hupendi Coca-Cola kwa sababu ina less sugar than PepsiCo, moja ya vitu vilivyofanya pepsi wafeli ni kiwango kikubwa cha sukari kwny products zao hasa soda ya pepsi, wengi inawashinda!

Hebu Nenda supermarket kanunue soda ya pepsi toka South Africa au Egypt halafu nunua soda ya chupa inayotengenezwa hapa Dar, utaona tofauti ni kubwa sana!
 
Last edited by a moderator:

Hili nililigundua tokea mwanzo mkuu,unaonekana tu jinsi unavyoielezea biashara kiutaalamu.
Mimi sipendi soda,na nikinywa basi ni mirinda 'nyeusi'.
 
Hongera sana kutokunywa soda maana hazina faida yyt mwilini zaidi ya ile ladha unayopata mdomoni! Madhara ya kunywa soda ni makubwa kuliko faida!
 
Mmh samahan waungwana unajua wengine tupo namtumbo huku, kwani bei yake halisi ni bei gani ilikuwa mpaka ishuke kufika 500?
Suala la ladha Hata Coca-Cola wanatatizo hilo, coca ya kanda ya ziwa na ya dar ladha tofauti pia
 
Wabongo bhana...vitu vikiamza kushuka bei maneno maneno na vikipanda bei maneno maneno duh!
 
Huyu azam atau watu anatoa wapi komamanga na stafel kutengeneza juicy tz nzima na kwa bei ya kutupa hahahaaaa
 
Mmh. Hizi bei za wapi? Mbona sijawahi kununua soda chini ya 700?
 
Mitandao ya simu nayo ingekuwa huru kufanya hivi....
 
Back
Top Bottom