sometimes mimi namchukulia mungu ni kama imaginary friend ! created by ( we ) humans ...
How bogus is my question?
Ndio maana nikakuuliza Christopher alipo fika Jamaica, ndie yeye aligundiua Jamaica?
Wapi nimeongelea ugunduzi?
Man made god who made man in essence to shift responsibility and entertain a point of last refuge wishful thinking psychology.
Ukiwa na mungu huhitaji kujisumbua sana kuhusu environmental protection, CO2 level ziki raise utaomba mungu alete miracle tu.
Plus, kukubali ukweli kwamba hakuna mungu ni ukiwa mkubwa, kwamba we are on our own. People would rather believe in a sweet lie that there is a big daddy up there than face the bitter truth that we are on our own and carry the final responsibility.
Wapi nimeongelea ugunduzi?
Naona unaona maluwe luwe weye, hili swali ni la viper.
mkuu kiranga toka jana nilikuona kwenye topic ya rafiki yangu vor iliyokuwa inaongelea kifo na mungu, kwenye maelezo yako ya leo hapa ha
yana tofauti na ya jana. Hivi kwa nini unasema na kuamini kuwa mungu hayupo? Na kama hayupo sisi binadamu tumetokana na nini?
Nijibu kwa faida ya wote
Poor reply. Try again
evolution man!!
Obviosly your understanding of science is even poorer. I have no need to "try again".
Science doe not claim to know everything, but provides a far more satisfactory explanation of nature.
Religion claims to hold the answer to everything, but seldom addresses any tangible question in a comprehensive manner.
Religion claims to hold the answer to everything, but seldom addresses any tangible question in a comprehensive non-authoritarian, open to challenge manner.
viper, Christopher C alipo fika Jamaica, je, yeye ni kweli aligundua Jamaica?
Mkuu kiranga toka jana nilikuona kwenye topic ya rafiki yangu VOR iliyokuwa inaongelea kifo na mungu, kwenye maelezo yako ya leo hapa ha
yana tofauti na ya jana. Hivi kwa nini unasema na kuamini kuwa mungu hayupo? Na kama hayupo sisi binadamu tumetokana na nini?
Nijibu kwa faida ya wote
swali lako lina utata... kugunduwa kivipi... ? like the way we discovered anti malaria drugs or..? !
Huhitaji kujua exactly binadamu wametokea wapi ili kutoamini kwamba binadamu ameumbwa na mungu.
Huhitaji kujua exactly square root ya 8 ni nini ili kujua kwamba square root ya 8 si 4.
Kuhusu kwa nini nasema kwamba mungu hayupo, ukisoma the classic theological arguments against god utaona kuna kitu kinaitwa "The Problem of evil" nimeongelea hili hapo juu.
Hivi kwa nini mungu mwenye uwezo wote, na upendo wote, aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Utata upi, wakati ndio sayansi na historia inavyo dai. Jibu swali. Je, ni kweli Christopher C aligundua Jamaica?
Nope obvious aliwakuta watu pale.. BUT Christopher C made it famous ..
Hivi mbona Mungu anakupa ugonjwa wa MOYO? Kama hayupo, kwanini watokwa na POVU na kutumia NGUVU zako kuzungumzia kitu ambacho hakipo? HIVI ZIPO KAMILI WEYE?
Kwahiyo hakugundua, na unaposema famous ni kwa kina nani? Maana Jamaica ilikuwepo kwa Wajamaica? Sasa mzungu kujuwa kuwa kuna Jamaica ndio unasema famous?
Nilishawahi kumpa mungu nafasi ya kuniua hapa, akashindwa, achilia mbali ugonjwa wa moyo.
Mimi niko hapa kupinga ignorance, na belief in a god is part of that ignorance. We must fight ignorance with all might.
Ukiangalia signature yangu utajua nasimamia wapi kwenye swala zima la supernatural beliefs, sio tu mungu.
Naweza kusema hata umasikini wetu Tanzania unaendana na imani hizi za supernatural, kama za mungu.
Wachimba madini huko Mererani wanakufa, rais anasema kirahisi tu "Hii ni kazi ya mungu" bila kuangalia suala zima la usalama katika process ya uchimbaji wa madini.
Nchi haina umeme, rais basically anasema yeye si mungu na hana uwezo wa kunyesha mvua.
Kwa hiyo utaona jamii inayoamini mungu inamtumia mungu kukwepa responsibility yake, umasikini unakuwa explained kama "kazi ya mungu" na utajiri kama "bahati" na "kazi ya mungu pia"
Kuna mtu katuambia hapa mafanikio yake yanatokana na zaka.
Ni ujinga kama huu unaotokana na imani ya mungu ndio unaoniuma zaidi kuliko imani yenyewe tu.
Hatuzungumzii DINI HAPA. Jibu maswali bana.
Usifikiri unaweza pindisha mada bana. KWANINI SAYANSI ILISHINDWA KUGUNDUA HII SAYARI KITAMBO?