Sayansi inamthibitisha Membe?

Mmmh... Hii tuiite jina lingine ila sio sayansi
 
Kwa hiyo?? Unataka aingizwe kenye kitabu cha Guiness kwa jambo la kawaida au mimi tu ndiyo sijakuelewa?
 
Umemsahau na Mulugo nae anatumia mkono wa kushoto.
 
Nilisoma mahojiano ya Membe Mwananchi ...ali capitalize Sana Hiki la kuwa left writer ...Sasa sijui Kama na Hao wengine walikuwa wasaliti ,wauza Nchi ,na wasiokuwa na msimamo...

Msimamo wa Tanzania mto NILE ni kuuza Nchi
Usaliti kwa kula Pesa Za Libya ...
Kukosa msimamo kwenye suala la Afrika Mashariki ......akitetea Tanzania kujitoa Wakati Rais akasema Tanzania is there to stay
Kukosa msimamo kwa kusema Tanzania iPo tayari kuingia vitani dhidi ya Malawi Wakati yeye Hana mamlaka ya kuongelea utayari ..yeye sio Amiri Jeshi Mkuu
Etc
 
Atumie kushoto au kulia, miguu au mdomo tutampima kwa aliyofanya katika nafasi zozote alizopewa dhamana! Jana niliona nyani anarusha jiwe kwa mkono wa kushoto sijui nae huyo ni rais wa manyani?
Sayansi unayoongelea must do much more research over the matter
 

Atakaejari ama atakaejali? Naomba ufafanuzi m.a.n.i.n.a
 
Kati ya Marais wanne waliopata kuongoza Tanzania, hakuna hata mmoja anayetumia mkono wa kushoto. So, basing on your criteria, the probability of Hon. Membe kupata urais Tanzania ni 0% but above 0% kama atagombea US... which means, basing in your criteria, ni rahisi kwa Membe kuwa US President kuliko Tanzanian President! Kama wewe ni mshauri wake, pass this to him!
 
Tusifikiri kwa mioyo yetu ila kwa akili zetu,kipimo cha wagobea urais Tz 2015 ni uwezo wa kusema na kutenda yale unayosema kwa maslahi ya Taifa bila kujali maslahi ya kundi dogo lililokupigia debe,pili tatizo letu wtz tukipiga propaganda kumpamba mtu ili akipata atukumbuke ndio dili tutaliua taifa dili ni kuwajibika kufanya kazi kwa kila mmoja wetu.
 
Alivyo mlopokaj huyo…!!!

alishalopoka kipind mgogoro wa ziwa nyasa unaanza chin ya rais banda wa malawi kuwa tutawapiga Malawi, pia akatangaza vifaa vya kivita vimeanza kupelekwa mpakan mwa Malawi, alishalopoka juu ya mahakama ya kadhi nk
 
Sayansi imchunguze vyema huyo jamaa.! Mienendo yake ya other side sio mizuri anaropoka ropoka sana sasa tunapata mashaka akipata madaraka makubwa si atakuwa anapiga makelele kabisa! !
 

you are not only thinking, but you think critically! thanx
 
Hatuhitaji uchawi au ushawishi wa kimagumashi ya waganga kuchaguliwa rahisi eti lefties!!
 

Mnama umewaza mbali sana alietoa huo Uzi hawezi kufika huko. Jamaa ni IPP HAHAHAAA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…