kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Baba yangu mzazi alikuwa anatumia mkono wa kushoto. mkono wake wa kushoto ndio ulikuwa na nguvu kuliko wa kulina na hata kukata kitu, kuandika alikuwa anatumia mkono wa kushoto, nafikiri angefaa kuwa rais kama ndio hivyo.sio ulemamvu huu kweli maana hili ni tatizo tayari wala usitudanganye hapa jukwaani
Watu kama ninyi ndo mnaofanya tuonekane race ya Kiafrika kichwani ni sifuri.....hivi huwa mnawaza nini kuandika makorokocho haya,ni UPUUZI wa hali ya juu,mkiambiwa na wazungu hamna akili mnang'aka..KERO SANASAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?
SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?
reserch za kisayansi zinathibitisha
na watu wengine maarufu zaidi duniani;
je unajua kuwa kati ya marais 7 wa marekani wa 5 wanatumia mkono wa kushoto?
1.MEMBE
2.UHURU KENYATA
3.OBAMA
4.ARISTOTLE
5.BILLGATES
6.OPRAH WINFREY
7.PRINCE CHARLES
8.PRINCE WILLIAM
9.ANGELINA JOLIE
10.CELINE DIONE
11.JUSTIN BIEBER
12.BILL CLINTON
13.W G. BUSH
je nikipaji kwa Mh Membe kwenda ikulu?
kuwa aliongoza mkoa wake kidatu cha nne!!
na tabora kidato cha sitta kwa daraja la kwanza!!
vipi mtaani kwako tabia za watoto wanaotumia mashoto?
Top 10 Lefties | TIME
time.com/3107557/top-10-lefties/
Ivi prince charles na william, walichaguliwa kwasababu wana akili sana eehee..