Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
nimewamisi jaman humu ndan n nataka jua wangap wapo mwanza pliiiz wana see u guys pliiiz vp hamjanimis jaman
acha utani.!! Mbona mi nko apa baptst au we ndo yle jiran yang nin..
inabid watu wa mwnza tupitishe sensa yetu afu tujuane vizuri, hope it will b a gud move..
Yan mama acha tuu nimetoka puyanga hapa mara moja n nw narudi zangu sikia nambie nije lin huko kona ya bwiru mamabeibe mbna ulipotea. au ndo ulizimika na umezinduka saiv!
Jaman tupange haata wiki ijayoyeah,itakuwa vyema. cku 1 tumeet smwhr tubadilishane mawil matatu!
Excellent umepotelea wapi lovitoNimekumiss too
hahaaa! yawezekana...
yeah,itakuwa vyema. cku 1 tumeet smwhr tubadilishane mawil matatu!
Jaman tupange haata wiki ijayo
Yan mama acha tuu nimetoka puyanga hapa mara moja n nw narudi zangu sikia nambie nije lin huko kona ya bwiru mama
itabid nianze kuwatch yo movez...
umeonah enh but wengine hatutoki mpka kue na kitmoto uko nsije kuwaboa watu...
hahahahaaaa.... utaniweza mie!
dah wik ijayo na iz assgmnt nlizonazo.!!!
hahhha twaweza meet hata hunters au container kule capripoint au wapi kuna noah ya ukweli?
haya ukimaliza assgnmnt utatutaarifu!
ah mbona xana 2.. viwanja gan waga unaenda, nianz kuingia na mm.!?
dah kwel we mdau.!! ki2 cha contena, capri upepo mtam unaxahau na matatzo kabxa.. huntrz dizain uswaz
kontena pa ukwee... hunters unajua ni karibu naeza tupia sufuria ya ugali afu nkakimbilia mboga hhhhàaaa!