PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 645
- 501
we nae.
That's the last thing she wants.
What she needs is not to be on the rebound, she needs to heal.
Learn from her previous relationship, wipe the dust and say hell yeah, it was good while it lasted.
i pray so,lakini em nishaurini tu,mliowapata mliotulia nao mlifanyaje,sipendi kukosea tena baada ya hapa
Don't try too hard to be perfect.
Rule no. ! in any relationship, Be Yourself.
If he doesn't love you for who you are then you are better off elsewhere.
Usidhani just two relationships will make you perfect.
You have a whole bunch of frogs to kiss before you get to the prince.
Take it easy, life is a lot more than spending it eyesore crying from ordeals caused by this silly creation called men.
Wadau wa JF za jioni,
nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa...japo cha kimya kimya,nimejiongeza kusoma alama za nyakati ,na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu....
Nishamuweka moyoni,i loved every moment,inaniuma sana alivojikata polepole mana text,simu hazijibiwi na watsap namuona ...kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu...
Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi...
Maybe kuna sehemu nilikosea,najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu,mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi,watanicheka,ndugu watanishangaa,bora hapa siwajui hamnijui........
Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi....ila naumia jamani dahh.,mana i took sometime,natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena,
Ukipita niachie japo a comforting word,au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.....

sijui hadi lini mamii,natamani kusettle na partner wangu na mi nipange maisha
badiebey kipenzi.... Tafadhali soma huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho am sure you will get a certain kind of relief...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...78-the-power-of-letting-go-8.html#post9397789
Pole sana mamii, wako yupo sehemu usiruhusu kamoyo kako kavunjike sababu ya huyo asiyejua thamani ya upendo wako. Maisha hayasimami, yanasonga mbele..na wewe unatakiwa usonge mbele mamii.