Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Naona uneandika essay mkuu..
 
Acha kabisa mama,sio kwa dance lile!
Yani ni shiiidaaaaa nimehama timu rasimi naungana n nifah na team kibaa huyu jamaa anajua kwaheri team diamond mnisamehe tu nimeshindwa vumilia hiki kishindo
 
Diamond ni Mwanamuziki machachari....Ali Kiba ni mwanamuziki Hodari
 
How I wish hizi timu maandazi (mnisamehe walengwa) zingefanya kazi ya ku promote vipaji na sio maugomvi ya kupambanisha wasanii wetu! East Afrika is blessed kwa kweli, the real cradle of mankind!

**Tuendelee kuandika historia! Good job!!
 
Poa timu kisimi
 
Yani ni shiiidaaaaa nimehama timu rasimi naungana n nifah na team kibaa huyu jamaa anajua kwaheri team diamond mnisamehe tu nimeshindwa vumilia hiki kishindo
huna sababu nyengine nyuma ya panzia?
 
Wimbo uko moderate na ata Kiba pia kaimba moderate,hlf kiba kaimba kidogo sana so hajapata nafasi nzuri ya kudondosha zile silaha zake kwa kujinafasi zaidi,sasa cjui mashairi yalimuishia kutokana na idea ya wimbo au ndivo sauti souls walivompangia!n ways nimependa kile kipande cha dance and I wish video nzima ingekuwa vile,ila jamani Kiba ni mvivu sana wa kucheza yaani ana kiuno kigumu kama TOSI za Pemba,inabdi afanye sn mazoezi ili kiuno kiwe chepesi km sauti yake.
 
ANGALAU ANAJARIBU JARIBU ILA STAIL YA KUCHEZA AMECHANGANYIA NA KAMA NUMBER ONE
 
Wote waliosifu pia wamemsifu Kiba kuliko saut sol, ss unataka sifa apate Kiba alf lawama ndo wapate saut eti!?
 
Inaonekana umemjua kiba juzijuzi tu, nakushauri mfuatilie kwa ukaribu utajua kuwa kiba anatisha hadi kiuchezaji
 
We talentboy au talentgirl? ? Unaumia vipi kiuno kuwa kigumu we umesikia kiba mcheza show. .kama unataka kugawa na mwenye miuno mcheck hbaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…