Uchokozi huo... Ukipigwa mie simo... Hivi hilo huwa ni tatizo au, na kama ndio huwa linasababishwa na nini?
Kuna mmoja alikuwepo jana tbc1 kile kipindi kinachohusu mambo ya kiswahili, akiongea utamhurumia sauti ya kike.
Sio uchokozi Dena, nilikuwa nimeketi na mtu akawa ananiuliza huyo ni mwanamke mwanaume? Mwanzoni nikamjibu mwanamke manake amevaa shati jeupe mikono mifupi kama blauzi ila walivosogeza kamera nkaona ana suruali na viatu vya kiume,..ikabidi nikanushe haraka kuwa sio mwanamke lol...Mie na wewe nani mchokozi.........
mie nimeuliza nataka kujua tu
Sio uchokozi Dena, nilikuwa nimeketi na mtu akawa ananiuliza huyo ni mwanamke mwanaume? Mwanzoni nikamjibu mwanamke manake amevaa shati jeupe mikono mifupi kama blauzi ila walivosogeza kamera nkaona ana suruali na viatu vya kiume,..ikabidi nikanushe haraka kuwa sio mwanamke lol...
Afu sasa hana sura ngumu kivile na ndevu katoa zote... Mie nawashauri wanaume wenye sauti za kike wawe wanafuga ndevu ili kutuondolea utata bana...
DA si umeshatanguliza samahani hapo juu? Nisijetolewa kwa dirishani bure!
Baba wa Taifa( rip ) sauti yake ilikuwa ya kawaida bana, akiwa anasisitiza jambo ndio inabadilika na kuwa nyepesi kidogo but pia huwezi kusema inafanana na ya kike...Mi nadhani inategemeana na mtu mwenyewe,wapo wenye sauti ndogo lakini wana roho ngumu na wako wenye sauti kubwa na ni waoga pia,ila wenye sauti kubwa huwa wakiongea wanapewa attention kutokana na sauti ndo mana.
Hivi baba wa taifa ana sauti ipi?
Baba wa Taifa( rip ) sauti yake ilikuwa ya kawaida bana, akiwa anasisitiza jambo ndio inabadilika na kuwa nyepesi kidogo but pia huwezi kusema inafanana na ya kike...
Kuna wanaume wana sauti ya kwanza Excellent, yaani akiongea ukafumba macho utadhani uko na mwanamke!
Baba wa Taifa( rip ) sauti yake ilikuwa ya kawaida bana, akiwa anasisitiza jambo ndio inabadilika na kuwa nyepesi kidogo but pia huwezi kusema inafanana na ya kike...
Kuna wanaume wana sauti ya kwanza Excellent, yaani akiongea ukafumba macho utadhani uko na mwanamke!
Acha kubadilisha mada hapa ni sauti za wanaume tu
Hivi sauti ni proportional na mambo mengine au?
Hii sasa ni mada ingine M'one, acha kudandia gari la Dena, fungua siredi yako haraka...vp kuhusu wanawake wenye sauti za kiume?
Kumbe umemshtukia eeh, bora umemtoa baru lol.Acha kubadilisha mada hapa ni sauti za wanaume tu