Wakuu wa JF habari,
Tusikilize Wimbo wa Msanii wa Hip hop hapa Bongo Rosa Ree
Sauti za Maskini una ujumbe wetu humu ndani
Goddess
Mama Jay
Naiangalia Dunia kutoka chini ingawa nastahili kuwa juu
Muhanga mimi mfalme nayetembea kwa miguu
ujasiri sina wa kusema maana haki sina
Maskini kalilie chooni tajiri akila
Baba na babu waliishi maisha ya maadili
Kumbe maadili dunia hii huzaaa umasikini
Mwenye nguvu ukimpisha anapita na chako
Na anatamba nacho ukimuona umpe shkamooo
Soma upite mitihani baadae uwe tajiri
Nina degree aliyeniajiri kaishia la pili
Niache kutumia nguvu nitumie akili I'll get paid
Neno lilofanya wengi mpaka leo wapo jail
Vijana wanakufa wakisubiri one day
Juhudi hazizai matunda it's such a shame
Mnyonge mnyongeni na haki mnyimeni
Naomba jibu nani anaskiliza sauti za masikini
Nina thamani na mimi ni wa juu
Hata Kama sina leo nitapata tu
Mungu amenibless kwa kunipa uhai huu
Mimi ni wa juu nitabaki kuwa juu
Nina thamani na mimi ni wa juu
Hata Kama sina leo nitapata tu
Mungu amenibless kwa kunipa uhai huu
Mimi ni wa juu nitabaki kuwa juu
Vidumu na mafagio hatujui bus ya njano
Baba zetu hawana majina tunahaso kwa mikono
Sahivi ukiona tunakula usituzushie tunavimba
Mlipofunga kwaresma, si tulifunga kwa lazima
Neno linasema nikatawale vyote duniani
Dini inaniambia ishi maskini urithi vya mbinguni
Wadada wamevurugwa leo watoto wale nini
Usiulize vipi kausha damu zinalipiwa chumbani
Nishasota man, sota man
Hamna ambacho sijafanya man, fanya man
Yote eti nikisaka money, saka money
Tonge nipokonywe mdomon (what da damwit)
Vijana wanakufa wakisubiri one day
Juhudi hazizai matunda it's such a shame
Mnyonge mnyongeni na haki mnyimeni
Naomba jibu nani anaskiliza sauti za masikini
Nina thamani, mimi ni wa juu
Hata Kama sina leo nitapata tu
Mungu amenibless kwa kunipa uhai huu
Mimi ni wa juu nitabaki kuwa juu
Nina thamani na mimi ni wa juu
Hata Kama sina leo nitapata tu
Mungu amenibless kwa kunipa uhai huu
Mimi ni wa juu nitabaki kuwa juu
Maisha ghetto
Hustle zinafanya tuwe mental
Life Kama tupo keko
Tunachokijua ni matesoo00
This life is hard
(But we don't stop no retreat no surrender)
Hard
(We go harder we go harder yeah yeah)