feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,903
- 18,279
Huyu jamaa yuko njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kusikia tu
Hallow × 3[emoji445][emoji445]"and I see you in chinaaa
Silicone on your bumbum
Shaking what your doctor gave you
On your worst behavior
Oooh Suzanna bhane..
Senjeeeee[emoji445][emoji441][emoji41]
Afu huwa wanafanya COLLABO na wasanii wanaoweza tuu... Angalia collabo zao zote hao jamaa wanazoshirikisha watu ni za MOTO.Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.[emoji91][emoji91]
Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa kundi lao jamaa hatari..
Jamaa hatari Sioni dalili kabisa za kuvunjika kwa kundi lao hivi karibuni🔥Afu huwa wanafanya COLLABO na wasanii wanaoweza tuu... Angalia collabo zao zote hao jamaa wanazoshirikisha watu ni za MOTO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mrefu anaitwa Baraza ni Nouma,Vocalist mkali sana,yaani kwenye nyimbo zao mala nyingi watu wengi hukariri verse zake kuliko za wasanii wengine kina Savara..ila Mimi namkubali sana Savara.
Sisi wengine ndiyo tunapenda hiyo mitindo ya kizamani
Watu wa italia wanakuhus nn Wewe?
baraza anawabarazaHuyo mrefu anaitwa Baraza ni Nouma,Vocalist mkali sana,yaani kwenye nyimbo zao mala nyingi watu wengi hukariri verse zake kuliko za wasanii wengine kina Savara..ila Mimi namkubali sana Savara.
Mzee baba hiyo ni hatarikaitafute na hii suzana
Huyo mrefu mwenye kipara anaitwa BienHuyo mrefu anaitwa Baraza ni Nouma,Vocalist mkali sana,yaani kwenye nyimbo zao mala nyingi watu wengi hukariri verse zake kuliko za wasanii wengine kina Savara..ila Mimi namkubali sana Savara.
Tall alitembea yani hata angemaliza sawa tunaikubali sana kuliko jana..
Huyo Tolu ndo anaua sana
Hapo wanasemaHallow × 3
If you hate this song somebody loves
...Sijui nipo sahihi.....
Sent using Jamii Forums mobile app