Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,224
- 162,858
Habari wakuu,
Gazeti la SAUTI la leo tarehe 01/01/2014, limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.
Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.
CHANZO:SAUTI
MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.