Sauti mbovu ya king'amuzi..nifanye nini?

Sauti mbovu ya king'amuzi..nifanye nini?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,782
Reaction score
1,911
Jameni wanajamvi mimi hiki king'amuzi natamani nikitupe! Yaani sauti yake ni mbovu halafu inaumiza mno masikio. Muda mwingine inapanda juu na kushuka chini mpaka ni kero.

Ukiwapigia hao startimes wenyewe ndo wanakuzingua tu.....kuna mtu mwenye maujanja ya namna ya kutatua hili tatizo?
 
jameni wanajamvi mimi hiki king'amuzi natamani nikitupe! Yaani sauti yake ni mbovu halafu inaumiza mno masikio. Muda mwingine inapanda juu na kushuka chini mpaka ni kero.

Ukiwapigia hao startimes wenyewe ndo wanakuzingua tu.....kuna mtu mwenye maujanja ya namna ya kutatua hili tatizo?
pungza sauti ya kingamuzi saana na kwa kutumia remote ya kingamuzi then ongeza sauti kwa kutunia remote ya tv if symptoms persist seek medical advice
 
pungza sauti ya kingamuzi saana na kwa kutumia remote ya kingamuzi then ongeza sauti kwa kutunia remote ya tv if symptoms persist seek medical advice
aisee, asante sana. i cant believe angalau imekuwa poa. ila challenge iliyopo ni kuwa ukipunguza sana sauti ya king'amuzi husikii kabisa hata utakapopandisha sauti ya tv set...but imenisaidia sana!....big up sana mkuu!
 
Back
Top Bottom